kwamba wanawake wengi wa bongo wako na exposure?It amplifies the inferiority complex of wanaume wengi wa bongo. Wengi hawana exposure. Nawaonea huruma dada zetu.
Who is a Feminist??Ukiwa Feminists ni shida
Kweli aisee. Hii nimeshuhudia Babu alikuwa na wake wanne na mke wa tatu alimkuta na watoto wawili akaja nao kukaa Kwa babu na wale watoto walimheshimu Babu kama baba yao mpaka Leo japo ni marehemuSisi miaka yetu hatukuwa na shida hata hao mnaowaita single mother _Watoto wao walituheshimu kama baba zao,nyie wa boxer nje mkome!