naona source ya vyote inaweza ikawa ni UFEMINIST wanawake kutafuta kuleta kuwa sawa na wanaume.Hii inaweza ikapingana na nature(culture,tamaduni ,imani),na kusudi la uumbwaji wa wanadamu.Mwanaume ameumbwa kuwa kichwa mtawala,kiongozi wa mke wake/mwanamke.Mwanamke ana wajibu wa kumtii ,kumnyenyekea na kumuheshimu mume wake.Na mume ana wajibu wa kumpenda mke wake,na kimuheshimu kama kiumbe dhaifu kisichokuwa na nguvu.
sasa mfano 1)kutoka bila kuaga na 2)kuchelewa kurudi.Kama umetoa taarifa au umeomba ruhusu kabla na kuna mawasiliano mazuri baina yenu na kuna sababu genuine ya hayo na sio excuse za mara kwa mara zisizoeleweka ni rahisi kueleweka.Kuwa single mother sio issue kama ni wife material,kuvaa nguo za kubana ni maelewano kama mwenza wako hapendi au anapenda ni kusikilizana.Kuhusu wake kuwazidi kipato waume zao sio issue kama kuna heshima.Kuomba pesa zille za kawaida kulingana na hali halisi ya uwezo wa kiuchumi wa mwenza wako mbona sio issue wanaume akipenda haoni shida kuhudumia.
Sio wote marioo wanapenda kulelewa sio wote wanashindwa ku stay na single mothers.Tatizo ni hilo UFEMINIST ni wachache sana wanaume wanaweza kuvumilia mwanamke anayetaka kumpanda kichwani ,asiyemuheshimu,asiyemsikiliza,anayejiona na yeye yuko sawa na yeye asiyependa kujishusha na kunyenyekea.NA HILI NI JANGA litakaloenda kusababisha ndoa nyingi za vijana huko mbeleni zitakua hazidumu kwa sababu ya kuwa empower wanawake,in the future ndoa zitaadimika kam trend ya kuwa empower wanawake wawe sawa na wanaume ,na nafikikiri huu ni mpango wa nhivu za giza ili kuvunja ndoa familia ,kutengeneza kizazi cha single mothers na single fathers na watito waliokosa malezi ya pamoja ya wazazi.