Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siyo wote lakini wengi hawana adabu, Sister wangu ni top level kwenye taasisi fulani mume wake hamfikii kwa chochote lakini anampa heshima zote mpaka prsonal account yake anamuachia access ya ATM card, true love.Tatizo mnawasakama sana wanawake wasomi, kutokuwa na heshima hakuhusiani na elimu ya mtu.
Simaanishi wanaume wategemee pesa za wanawake, lakini naamini kwenye true love usingesikia haya makelele.
Kwa unofficial research yangu findings zinaonesha wengi wanaingia kwenye ndoa kwa malengo binafsi lakini siyo real love.