Kuwa mwanaume kuna raha jamani, yaani miaka 93 anaoa mdada miaka 24?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako!

Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo.

Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.

Screenshot_20230124-183820.png
 
Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako!

Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo.

Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.

View attachment 2494246
Tuna plenty of choices kwenye suala zima la (ndoa,mapenzi, mahusiano) ndo maana huwezi kuta wanaume wanaenda kuombewa wapate wanawake kwa mamposa au wachungaji wengine ila ila ila ila ila

Cost ya kuwa kidume ni kubwa sana ndo maana wanaume wengi wanajiua na kujiingiza kwenye mambo ya hovyo ili tu kujipatia riziki

Anyway Mungu alikuwa fair kutulegezea kwenye papuchi tujipooze na hizi stress za kiume

🤒😒
 
Kwakweli aliwalegezea ili mjipooze na machungu
 
Tuna plenty of choices kwenye suala zima la (ndoa,mapenzi, mahusiano) ndo maana huwezi kuta wanaume wanaenda kuombewa wapate wanawake kwa mamposa au wachungaji wengine ila ila ila ila ila

Cost ya kuwa kidume ni kubwa sana ndo maana wanaume wengi wanajiua na kujiingiza kwenye mambo ya hovyo ili tu kujipatia riziki

Anyway Mungu alikuwa fair kutulegezea kwenye papuchi tujipooze na hizi stress za kiume

🤒😒
Umewafangilia Sana wanaume kwenye comment hii
 
Back
Top Bottom