Kuwa mwanaume kuna raha jamani, yaani miaka 93 anaoa mdada miaka 24?

Kuwa mwanaume kuna raha jamani, yaani miaka 93 anaoa mdada miaka 24?

Ana nguvu kama zote huyo. Kwa vyovyote vile dada alitest mitambo kama Dorothy Gwajima kabla ya kukubali ndoa
😂😂😂😂😂 Kijana unamjua mwenzako????swali hili huulizwa kabla ya kupokea mahari.
 
Wee sio kweli buheti kaolewa na kale katoto ka singida FC mbonaaa
Atafaidi masontojo balaa
 
Exactly.
Watu wazima dawa jamani.
Mtu mzima analea mwanamke kama mwanaye. Na hawana makuu kwemye ligwaride pia. Habari ya kusema kaa hivi, simama vile au jikukunje kama nn hakuna.
 
Ana nguvu kama zote huyo. Kwa vyovyote vile dada alitest mitambo kama Dorothy Gwajima kabla ya kukubali ndoa
Naomba niwaulize kidogo jamani; Hivi Ndoa maana yake ni Kulalana tuu (Me na Ke) au kuna kitu kingine zaidi ambacho hakisemwi ila husemwa baada ya kufunga ndoa??
 
Sawa lakini kwa umri huo ajiandae kugongewa
Nimesoma kwenye moja ya websites huyo alikuwa kichuna wake kwa miaka mingi ni kama wamehalalisha tu. Na huyo mwanamke ana umri wa miaka 63 (siyo yanki).

Wanaanga wenzake wawili hawapo tena duniani amebaki yeye anatanua.
 
Write your reply...Huyo dada Kuna kitu Cha ziada kakiona kwa yule mzee ukiachilia mbali mapenzi
Exactly. Kwenye ndoa kunahitaji busara, hekima na amani ya rohoni. Hata kama unamuduje tendo (kama wengi wanavyodhani), lakini kama hakuna amani ni bure na ni mateso. Kama hakuna maamuzi yanayofanyika kwa hekima katika ndoa yenu ujue ndoa hio ni balaa tupu. Ndo mana unasikia watu wawili waliotamkiana hadharani NAKUPENDA, NITAKUHESHIMU n.k.nk hao hao wanamwagiana petroli, wanashikiana visu/panga/shoka wanauana. Kwa ufupi huyo dada ameona mbali zaidi ya mapenzi.
 
Back
Top Bottom