harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
Kujichosha tu, ndo hutumia mpaka madawa kujiongezea ufanisi, kuna gharama kubwa tunapoenda against law of nature
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia kigezo gani?Akiunga bao nipo pale
Ukiolewa na mzee siku si nyingi na ww unazeeka.Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako!
Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo.
Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.
View attachment 2494246
Ujengewe sanamuMtasema pesa lakini kuna amani ya tofauti inapatikana kwa hao wenye umri wa juu juu huko
Ukiolewa na mzee siku si nyingi na ww unazeeka.
Nyanya gani hizo unazigonganisha? Kwamba ukizigonganisha anakoroma?Huyo ata hachoshi unashika nyanya unazigonganisha kashalala anakoroma! Unasubiri lini kinadanja uanze kuenjoy urithi
Mzee alifika mwezini huyo. Akavuta ukwasi wa kutosha kwenye hiyo safari ya mwezini. Dada anataka apate mtaji toka kwa huyo mzee wa mweziniMmh, vijana mko wapi jamani!? kete zinaangukia wazee! 😀 Mzee anaswaga gani jamani!? Au ndio mabinti walivo jamanii!? Dunia ikoje jamani!? sijaonwa hata mimi jamani! 😁 Not fair!
Kiukweli wazee wanajua kutunza wake zao Sana. Maana unakuta tayari washajiwekeza hivyo hela ipo.Sio kweli,angalia wake za Vijana walivyochoka mwili na roho Hadi kuonekana wazee halafu kaangalie wake wa wazee walivyonawiri
Asanteee! (In Zungu's voice)Hapo kwenye 40 FUTA weka 35
KabisaaKiukweli wazee wanajua kutunza wake zao Sana. Maana unakuta tayari kishajiwekeza hivyo hela ipo.
Kumbe na mimi nivute Subira! 😁Mzee alifika mwezini huyo. Akavuta ukwasi wa kutosha kwenye hiyo safari ya mwezini. Dada anataka apate mtaji toka kwa huyo mzee wa mwezini
UmerudiMtasema pesa lakini kuna amani ya tofauti inapatikana kwa hao wenye umri wa juu juu huko
Anaibiwaaa.... [emoji16]Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako!
Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo.
Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.
View attachment 2494246
Una wivu wa kike ujueAtafia kifuani kenge huyo
Kwenda zako acha udangaji wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtasema pesa lakini kuna amani ya tofauti inapatikana kwa hao wenye umri wa juu juu huko