Kuwa mwanaume kuna raha jamani, yaani miaka 93 anaoa mdada miaka 24?

Mmh, vijana mko wapi jamani!? kete zinaangukia wazee! πŸ˜€ Mzee anaswaga gani jamani!? Au ndio mabinti walivo jamanii!? Dunia ikoje jamani!? sijaonwa hata mimi jamani! 😁 Not fair!
 
Ingekuwa ni Tanzania wanoko hawakawii kusema "Kafata Mali"

Yale yale yaliyo tokea kwa Reginald mengi,na Mrema...

Bongo[emoji23][emoji1241]Darisalama

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ukiolewa na mzee siku si nyingi na ww unazeeka.
 
Lengo juu la mwanaume mwenye umri kama huo kuoa binti mchanga hivi, huwa sio tamaa wala uchu wa ngono kama mawazo ya wengi yanakoelekea,

Bali huwa ni kutafuta Amani ya moyo, umri huo huwa wanatafuta watu wa kuwa-care Ili kuifeel ile ladha halisi ya ujana wakati akiwa mzee, na kujiona kama vile amerudi miaka kadhaa nyuma nadharia ya time travel inahusika hapa.

Atapata maisha ya Amani na furaha na siku zake za kuishi zitaongezeka.....

Umri huu huwa hawawazi kabisa maswala ya ngono!..... Kama wengi wanavyofikiria kuchapiwa tu!......


Anachokihitaji yeye ni mtu wa kumcare kukumbukia miaka ya nyuma....trying to turning back the hands of time.....

Hayo mengine ya kukung'utiwa papuchi....kawachia nyie....wala hilo huwa hawaliwazii kabisa! Maana hawataki pressure umri huo.
 
Mmh, vijana mko wapi jamani!? kete zinaangukia wazee! πŸ˜€ Mzee anaswaga gani jamani!? Au ndio mabinti walivo jamanii!? Dunia ikoje jamani!? sijaonwa hata mimi jamani! 😁 Not fair!
Mzee alifika mwezini huyo. Akavuta ukwasi wa kutosha kwenye hiyo safari ya mwezini. Dada anataka apate mtaji toka kwa huyo mzee wa mwezini
 
Sio kweli,angalia wake za Vijana walivyochoka mwili na roho Hadi kuonekana wazee halafu kaangalie wake wa wazee walivyonawiri
Kiukweli wazee wanajua kutunza wake zao Sana. Maana unakuta tayari washajiwekeza hivyo hela ipo.
 
Mzee alifika mwezini huyo. Akavuta ukwasi wa kutosha kwenye hiyo safari ya mwezini. Dada anataka apate mtaji toka kwa huyo mzee wa mwezini
Kumbe na mimi nivute Subira! 😁
 
Anaibiwaaa.... [emoji16]
 
Mtasema pesa lakini kuna amani ya tofauti inapatikana kwa hao wenye umri wa juu juu huko
Kwenda zako acha udangaji wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…