Kuwa mwangalifu kununua viwanja maeneo ya Kerege, Mlingotini, Kondo, Zinga, Kiromo na Ukuni hayo ni maeneo ya Bandari!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
WanaJF kamwene

Nawapa tu angalizo wale mnaopenda kununua viwanja kiholela kuweni waangalifu sana na viwanja vya Bagamoyo

Kuna eneo kubwa limetengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari na Export zone na wenyeji Wengi wameshalipwa fidia

Kerege, Zinga, Kondo, Mlingotini, Kiromo na sehemu ndogo ya Ukuni zinahusika

Mlale Unono 😄
 
Asante kwa taarifa. Vipi kuhusu eneo la MATATA? kule kwa mzungu. Je, nalo ni eneo la bandari?
 
WanaJF kamwene

Nawapa tu angalizo wale mnaopenda kununua viwanja kiholela kuweni waangalifu sana na viwanja vya Bagamoyo

Kuna eneo kubwa limetengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari na Export zone na wenyeji Wengi wameshalipwa fidia

Kerege, Zinga, Kondo, Mlingotini, Kiromo na sehemu ndogo ya Ukuni zinahusika

Mlale Unono 😄
Ubarikiwe Jo
 
Back
Top Bottom