Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

Mimi wangu ni mwembamba kunasiku tuko Rau mvua ilinyesha hadi saa nne usiku, kurudi geto ikawa mtihani boda hawataki sababu ya tope, ikabidi tutembee kwa mguu.
Bahati mbaya viatu vyake vikaachia, akawa anatembea kwa madoido alafu mvua kama inataka kurudi.
Nilimbeba mgongoni mpaka geto.... Wanawake wembamba waheshimiweπŸ™πŸ™
 
Kwa hiyo ulimbeba kama mzigo wa kuni?
 
Mkuu,
Unasikiliza bolingo au bakurutu au MSONDO na sikinde...

Au ulaya na marekani.
Nikiwa nakunywa hizi bia nasikiliza bolingo au bakurutu, nikiwa nakunywa 'wine' nasikiliza R&B, nikiwa nakunywa 'whisky' nasikiliza country; msondo huwa sisikilizi kwa sababu sitaki kuzeeka mapema.​
 
Sema nini...vibonge hawanaga makuu.
Wanaridhika haraka sana kwa vitu vingi.
Vimbau mbau haha...sisemiπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…