Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

Unaijua mitako yenye ZIP Code yake yenyewe?

Ile inayoanzia mtaa mmoja inapitiliza mpaka mtaa wa pili?

Aahahahaaa nimechekaaa.....

Hapo upate chotara wa kinyakyusa na kihaya, yaani huyo shori awe baba yake Mhaya mama yake Mnyakyusa....

Huo mtako wake uukodie kitoroli shurti usiburuzike....😁😁😁

Sijui akili yangu imewaza nini....😛.
 
Hahaa. Mtako unaweza kumuweka mtoto mdogo pale juu na asidondoke.
 
Hahaa. Mtako unaweza kumuweka mtoto mdogo pale juu na asidondoke.

Khna mwanaume mmoja aliniambia, mwanaume aliyekiumeni atqgeuza shingo kwa vitu viwili;
1. Mwanamke mwenye tako....
2. Magari haswa ya kipekee kama sports cars, mfano Lamboghini (nisahihishe spelling tafadhali), ama yale yanatoa mlio kama exhaust imekatika, wenyewe mnaita mnyama.

Kuangalia ni jambo moja, kutamani ni jambo jingine, kutaka kuliendesha/kumjaribu mwanamke ni jambo lingine na kutaka kumiliki gari/kumuoa mke ni jambo lingine tofauti na kugeuza shingo kuangalia tako/gari iliyopita.

Kuanzia hapo sina shida mwanaume akipiga kiwi cha macho...😉😉😜.
 
Kuna dada mmoja Mmarekani nilikuwa naye ndani ya New York City tunabarizi jioni near The Brooklyn Bridge by the East River on the Manhattan side.

Basi yule dada alikuwa ana gubu kupita maelezo.

Eti tunatembea, niki naye, ananishambulia kwamba mimi naangalia wanawake wengine, wakati mimi mwenyewe hata sioni kama naangalia wanawake wengine!
 
Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama.

Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi.

Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto moja baridi.

Kazi kwenu wananzengo..

View attachment 3114375
Mjusi kakumbatia gogo
 
Back
Top Bottom