makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Ni kwelo...naunga mkono shauri.Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama.
Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi.
Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto moja baridi.
Kazi kwenu wananzengo..
View attachment 3114375