Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama.

Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi.

Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto moja baridi.

Kazi kwenu wananzengo..

View attachment 3114375
Aisee unakula faida tupu ,,aiseee acha tuu sema na mm najitaidi sana kupata hizi 6x6
 
Ujue mtu akidondosha sana maongezi ya kuonesha ma logical fallacy, ma Hegelian dialectic, et cetera, watu wanafikiri maongezi ya msambwanda hawez...i 😂😂
Umebomoa sanaa yaani huwa wanafikiri labda hata huwezi kukaza vile😂😂😂
 
Umebomoa sanaa yaani huwa wanafikiri labda hata huwezi kukaza vile😂😂😂
Wangeniona ninavyo "get loose" sasa.

Life is short man, be yourself.

Don't let people define who you are.

Heshima unayopewa na watu isiwe gereza la kukufunga uishi maisha fake ambayo si yako kiuhalisia.
 
Wangeniona ninavyo "get loose" sasa.

Life is short man, be yourself.

Don't let people define who you are.

Heshima unayopewa na watu isiwe gereza la kukufunga uishi maisha fake ambayo si yako kiuhalisia.
Hahaha umesomeka vyema sana kijana wangu.
Muda mwema kwako
 
Back
Top Bottom