Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

Na ndio maana namzengea Loveness Juakali ila ananitolea nje.

1728016835305.jpeg
 
Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama.

Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi.

Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto moja baridi.

Kazi kwenu wananzengo..

View attachment 3114375
Haujatoa posa wala mahari.Acha sound kijana.
 
Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama.

Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi.

Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto moja baridi.

Kazi kwenu wananzengo..

View attachment 3114375
Wapi Neema Mziho?
 
jamaa yangu, shughuri yako kubwa huwa ni kuzungumzia mapenzi, tafadhari wahi hospital una tatizo kubwa la kisaikolojia
 
ukweli
NNiwapongezewale waotee mliooa ma cylinder Mungu awabariki sana kuyasogeza maisha yako yote hiò n kipaji kikubwaa..c wengine tunayapitiaga tu kama tuko boda yakitupa permit woi moto kugeuka mwiko
 
Back
Top Bottom