Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

Aisee unakula faida tupu ,,aiseee acha tuu sema na mm najitaidi sana kupata hizi 6x6
 
Ujue mtu akidondosha sana maongezi ya kuonesha ma logical fallacy, ma Hegelian dialectic, et cetera, watu wanafikiri maongezi ya msambwanda hawez...i ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umebomoa sanaa yaani huwa wanafikiri labda hata huwezi kukaza vile๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umebomoa sanaa yaani huwa wanafikiri labda hata huwezi kukaza vile๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wangeniona ninavyo "get loose" sasa.

Life is short man, be yourself.

Don't let people define who you are.

Heshima unayopewa na watu isiwe gereza la kukufunga uishi maisha fake ambayo si yako kiuhalisia.
 
Wangeniona ninavyo "get loose" sasa.

Life is short man, be yourself.

Don't let people define who you are.

Heshima unayopewa na watu isiwe gereza la kukufunga uishi maisha fake ambayo si yako kiuhalisia.
Hahaha umesomeka vyema sana kijana wangu.
Muda mwema kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ