[emoji122][emoji375][emoji375][emoji375]🪛🪛🪛🪒[emoji419][emoji419][emoji625]Lecture mzima hawezi Kuja na andiko LA namna hii.
Mkuu unashamgaa hayo.Upumbavu huu chanzo chake ni serikali pumbavu ya ccm na walimu kukosq akili ....siyo kukosa akili kwa kuwala wanafunzi bali ni kwa sababu jambo dogo kama hili ni jepesi kulitatua kwa kubadili mamlaka za mitihani yenye kuhukumu hatima ya mwanafunzi ...kwanini walimu ndiyo wawe na hiyo mamlaka kwa nini kusiwe na chombo cha mitihani kwa vyuo vyote ....tofauti na mitihani ya vyuo husika ...hiyo mitihani ya vyuoni isiusichwe na vyeti vyovyote vya kiserikali hivyo hakuta kuwa na sababu ya wanafunzi kutoa uchi ili kufaulu, wala hakutakuwa na huo uwezekano wa walimu au mwalimu kumfaulisha mwanafunzi kwa uchi au rushwa yoyote nyingine..
NI MPUMBAVU GANI ALIYE TOA MAMLAKA YA MWALIMU KUFAULISHA AU KUMFELISHA MWANAFUNZI JINSI ATAKAVYO YEYE....KWENYE MITIHANI YA FORM 4 HAKUNA HAYO MAMBO KWA SABABU MITIHANI WA KUHUKUMU HATIMA UNATUNGWA NA MAMLAKA TOFAUTI SIYO MWALIMU HUSIKA AU CHUO HUSIKA ...KOSA LIPO HAPO.
Habari, mimi ni member ya JF , nimerudi Tena baada ya muda mrefu.
Mimi ni mtaalamu wa afya pia nafundisha chuo mpk sasa.
Sasa miaka kadhaa nyuma nilikuwa ni mwalimu katika chuo kimoja Cha afya, nilifundisha pale kwa miaka kadhaa, kabla sijahamu na kwenda chuo kingine.
Sasa niseme kwa ufupi kutoka na majaribu ya kazi.
Kazi hii bhana inamitego hasa ya watoto wa kike, sina kawaida ya kutongoza, bali ni wao wenyewe wanakuja kwangu, naamini hata kwa walimu wengine ni hivyo hivyo.
Na hili linakuja kutoka na baadhi ya masomo kuwa magumu kidogo, na baadhi ya wanafunzi kukupigia simu na kulialia kuhusu maksi na baadhi Yao niliyowala ni wale wanakuambia kabisa , mwalimu naomba mtihani mwingine na hata ninaweza kuja kwako kufanya mtihani.
Kuna kipindi nilikuwa nasema class mtihani ni mara Moja tu, ukifeli hakuna makeup, basi hio inasababisha sana watoto wa kike kusumbua sana.
Kuna darasa Moja nilikuwa mabinti kadhaa semester Moja. Darasa lilikuwa linawanafunzi wengi kidogo.
Na Kila semester nilikuwa nafundisha madarasa mawili.
Mpk Kuna mda kipindi nimetimiza mwaka mmoja na nusu nikaona kama watu wengine pale chuoni hata staff wanaweza kujua kuwa hii Tabia ninayo.
Ndo sababu ya kuama chuo na kwenda chuo kingine mpk sasa ndonilipo lkn bado naona hiki kitabia Cha watoto wakike kipo kusumbua last week nikula kidemu kimoja, sasa baada ya hapo naona baadhi wanaanza kunipigia simu sana.
Nimekazingua juzi, naamini anaweza kuwaambia wenzie njia ya kupata maksi ipoje.
Sijawahi kutongoza demu yoyote.
Hii ishu nafikili sometime inatokana na baadhi ya wanafunzi uwezo wao ni mdogo, wa kukabiliana na masomo ya afya haya.
Maana entry requirements za nacte zipo chini sana mtu kujiunga.
Mwanaume unadisco tu mkuu labda uwe winga wa kuwapa lecturers namba na connetions za mabinti. Maana kiuhalisia wengi hadi warahisishiwe mazingira, hivi hivi ni ngumu sanaCoursework ni janga kubwa kwa wanafunzi hasa wa kike.
Sasa hapa umetueleza namna unavyowasaidia alama za bwerere mabinti kwa exchange ya k, vipi kuhusu wanaume wasipofika Coursework huwa unawasaidiaje?
Wanaume kazi tunayo.Mwanaume unadisco tu mkuu labda uwe winga wa kuwapa lecturers namba na connetions za mabinti. Maana kiuhalisia wengi hadi warahisishiwe mazingira, hivi hivi ni ngumu sana
Labda serikalini ambapo napo ni mfumo wa written na oral interview lakini napo GPA haiangaliwi.Wanaume kazi tunayo.
Ifikie mahali kwenye suala la ajira serikali na sekta binafsi wanapoajiri basi kigezo kikuu kisiwe ukubwa wa GPA bali kuwe na mchujo mkali wa interview ili kupata watu competent.
Ukiajiri kwa kuangalia GPA kubwa ndiyo utakutana na hizi GPA za kyupi ambapo kwenye cheti kuna mlima wa GPA ila kichwani patupu kabisa.
Hapo exchange n YASCoursework ni janga kubwa kwa wanafunzi hasa wa kike.
Sasa hapa umetueleza namna unavyowasaidia alama za bwerere mabinti kwa exchange ya k, vipi kuhusu wanaume wasipofika Coursework huwa unawasaidiaje?
Kwanini wajaluo mkuu?!Mwl mshenzi ww kama wajaruo wa musoma
Hatari sana hii. Turejee Eden tu sasa hakuna namna.Kwa hiyo hao unaowapa maksi za mseleleko ndio wanakuja kutuhudumia huku mahospitalini? Acha Mungu aniponye
Muwe mbinguni au kuzimu sitaki kujua mmKwanini wajaluo mkuu?!
Pia sisi hatupo musoma tupo Rorya
Karibu
Tumekukosea nini?!Muwe mbinguni au kuzimu sitaki kujua mm