Umeng'ang'ana sana na hilo neno university, utakuwa first year wewe, siyo kwa ushamba huo.Huku university nimeona mdada mmoja hivi daaaa acha nitaleta Uzi siku.
Umeng'ang'ana sana na hilo neno university, utakuwa first year wewe, siyo kwa ushamba huo.Huku university nimeona mdada mmoja hivi daaaa acha nitaleta Uzi siku.
Una uhakika umemuelewa mwandishi aliyeleta huu uzi?Hapa atuzungumzii ngono tu tunazungumzia yote yanayo weza kuhujumu mfumo wa elimu kwenye rushwa ya ngono au rushwa isiyo ya ngono .. wewe ukufanya rushwa ya ngono wala ngono ila uenda ulipokea rushwa ya pesa yenye lengo lilelile la kumfanikisha mwanafunzi kupata alama za juu kwenye masomo..mfumo ukiwa sahihi unatoa majibu hata kwenye hiyo conflict of interest unayo sema wewe ...hata walimu wanaopokea rushwa nao wanaweza kutumia hiyo hiyo hoja ya interests....mfumo sahihi hautoi mwanya kwa walimu au vyuo kufanya hayo
changamoto ni ile outcome yake, tunakuwa na taifa la hovyo kwasababu ya watu wachache wenye tamaa za mwili...Habari, mimi ni member ya JF , nimerudi Tena baada ya muda mrefu.
Mimi ni mtaalamu wa afya pia nafundisha chuo mpk sasa.
Sasa miaka kadhaa nyuma nilikuwa ni mwalimu katika chuo kimoja Cha afya, nilifundisha pale kwa miaka kadhaa, kabla sijahamu na kwenda chuo kingine.
Sasa niseme kwa ufupi kutoka na majaribu ya kazi.
Kazi hii bhana inamitego hasa ya watoto wa kike, sina kawaida ya kutongoza, bali ni wao wenyewe wanakuja kwangu, naamini hata kwa walimu wengine ni hivyo hivyo.
Na hili linakuja kutoka na baadhi ya masomo kuwa magumu kidogo, na baadhi ya wanafunzi kukupigia simu na kulialia kuhusu maksi na baadhi Yao niliyowala ni wale wanakuambia kabisa , mwalimu naomba mtihani mwingine na hata ninaweza kuja kwako kufanya mtihani.
Kuna kipindi nilikuwa nasema class mtihani ni mara Moja tu, ukifeli hakuna makeup, basi hio inasababisha sana watoto wa kike kusumbua sana.
Kuna darasa Moja nilikuwa mabinti kadhaa semester Moja. Darasa lilikuwa linawanafunzi wengi kidogo.
Na Kila semester nilikuwa nafundisha madarasa mawili.
Mpk Kuna mda kipindi nimetimiza mwaka mmoja na nusu nikaona kama watu wengine pale chuoni hata staff wanaweza kujua kuwa hii Tabia ninayo.
Ndo sababu ya kuama chuo na kwenda chuo kingine mpk sasa ndonilipo lkn bado naona hiki kitabia Cha watoto wakike kipo kusumbua last week nikula kidemu kimoja, sasa baada ya hapo naona baadhi wanaanza kunipigia simu sana.
Nimekazingua juzi, naamini anaweza kuwaambia wenzie njia ya kupata maksi ipoje.
Sijawahi kutongoza demu yoyote.
Hii ishu nafikili sometime inatokana na baadhi ya wanafunzi uwezo wao ni mdogo, wa kukabiliana na masomo ya afya haya.
Maana entry requirements za nacte zipo chini sana mtu kujiunga.
Wewe umemaliza hata primary kweli ...mbona ubongo wako kama wa kuku ? Kwani hao wanafunzi wanatafuta maksi za nini kutoka kwa walimu ? Hizo maksi zina faida gani kwa hao wanafunzi? Kama zina faida ndiyo nilicho eleza hapo juu kuwa kosa ni mamlaka iliyo mpa mwalimu au chuo au shule kuwa na hiyo mamlaka ya MAKSI YENYE KUHUKUMU HATIMA YA MWANAFUNZI. ...TATIZO LAKO WEWE NI UANITHI WA AKILI NDIYO MAANA UNASHINDWA KUELEWA NINACHO ZUNGUMZIA ...WATU WENYE UANITHI WA AKILI NI TATIZO KWENYE KUELEWA LOGIC NA KUZIPAMBANUA. Changa moto za mleta uzi kazieleza hapa kuwa ni watoto wa kike kumzonga na vishawishi kwa sababu wanataka kufaulishwa na huyo mwalimu ..hivyo watoto wa kike wanatumia uchi na wakiume wanatumia pesa zaidi kuonga na kwa sababu ya huo upenyo, wapo walimu wao ndiyo wanautumia kuwatishia wanafunzi kuwafelisha ili wapewe rushwa ya ngono au pesa ...sasa mimi nikaeleza kosa ni hiyo mamlaka ya MAKSI ZENYE KUHUKUMU HATIMA ZA WANAFUNZI KUWA CHINI YA WALIMU AU VYUO ...TATIZO LIPO HAPO...Mfano form 4 uwezi kuonga uchi walimu wako ili wakupe majibu ya mtihani wa kumaliza form 4 ili upate maksi kubwa kwa sababu hiyo mitihani utungwa na mamlaka tofauti.Una uhakika umemuelewa mwandishi aliyeleta huu uzi?
Mwandishi amezungumzia changamoto za watoto wa kike katika kutafuta maksi za bure, na kwa sehemu amezungumzia juu ya yeye kutumia nafasi yake kufaidika kwa ngono hii hoja ya pesa unaileta wewe, lakini bado sio hoja mfu inaweza kujadiliwa pia, Binafsi nimemjibu mwandishi na sio wewe kwa kuwa huhusiki kwa namna moja hama nyingine, jifunze kujali mambo yake, yasiyokuhusu yaache.
Mwanaume akitaka kufaulu zaidi inabidi amwage mpunga anapata A za kutosha tu! 😄Utakuta wanatozwa rushwa.
Pointukikua utaacha,, hakuna tuzo utakayo ipata kwa kudinya ke nyingi,