Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
Pale unaenda maabara unaambiwa una maralia na unaamua kwenda kurudia vipimo maabara tofaut na majibu yanatoka huna maralia bali una u.t.i
Huyo siyo lecturer ni mkufunzi wa degree moja, mwenye kadigrii kamoja, lecturer wa chuo kikuu mwenye PhD hawezi kuongea upuuzi wa namna hiyo, mahusiano ya kimapenzi kati ya mwalimu wa chuo na mwanafunzi hayaruhusiwi.Lecture mzima hawezi Kuja na andiko LA namna hii.
😄 Kweli mtu anaye jua ethics na misingi ya kazi hawezi kabisaHuyo siyo lecturer ni mkufunzi wa degree moja, mwenye kadigrii kamoja, lecturer wa chuo kikuu mwenye PhD hawezi kuongea upuuzi wa namna hiyo, mahusiano ya kimapenzi kati ya mwalimu wa chuo na mwanafunzi hayaruhusiwi.
Huna degree unafundishaje chuo?Nimetoa hii kutokana na experience yangu niliyopitia but mpk sasa nipo university namalizia bachelor yangu, kabla ya hapo nilipita diploma.
Utakuta wanatozwa rushwa.Hapo exchange n YAS
Sijui kwanini waTz tunapenda kushughulika na matokeo na si chanzo…… Umepoint concern ya msingi sana.Upumbavu huu chanzo chake ni serikali pumbavu ya ccm na walimu kukosq akili ....siyo kukosa akili kwa kuwala wanafunzi bali ni kwa sababu jambo dogo kama hili ni jepesi kulitatua kwa kubadili mamlaka za mitihani yenye kuhukumu hatima ya mwanafunzi ...kwanini walimu ndiyo wawe na hiyo mamlaka kwa nini kusiwe na chombo cha mitihani kwa vyuo vyote ....tofauti na mitihani ya vyuo husika ...hiyo mitihani ya vyuoni isiusichwe na vyeti vyovyote vya kiserikali hivyo hakuta kuwa na sababu ya wanafunzi kutoa uchi ili kufaulu, wala hakutakuwa na huo uwezekano wa walimu au mwalimu kumfaulisha mwanafunzi kwa uchi au rushwa yoyote nyingine..
NI MPUMBAVU GANI ALIYE TOA MAMLAKA YA MWALIMU KUFAULISHA AU KUMFELISHA MWANAFUNZI JINSI ATAKAVYO YEYE....KWENYE MITIHANI YA FORM 4 HAKUNA HAYO MAMBO KWA SABABU MITIHANI WA KUHUKUMU HATIMA UNATUNGWA NA MAMLAKA TOFAUTI SIYO MWALIMU HUSIKA AU CHUO HUSIKA ...KOSA LIPO HAPO.
MAPROFESA na VIONGOZI wa Tanzania nao ni feki na makanyanga ndiyo maana wameshindwa kuona hii logic nao wanapapasa papasa kama vipofu kutafuta njia za ufumbuzi wakati jambo lipo wazi kabisa, hata wangekuja kwangu nikiwa darasa la pili ningeweza kuwaeleza ufumbuzi ...cha kushangaza MAPROFESA na wabunge na mawaziri na marais wameshindwa kujua sababu wala kupata ufumbuzi...HUU NI USHAHIDI KUWA VYUO VYETU VINAZALISHA WASOMI WAPUMBAVU.Sijui kwanini waTz tunapenda kushughulika na matokeo na si chanzo…… Umepoint concern ya msingi sana.
Tuna adapt mambo jumla jumla wakati sisi kama jamii tuna shida ya maadili, hii system ya mwalimu kubeba hatima ya mwanafunzi wa chuo ni nzuri kwenye nchi ambazo watu wana maadili na system zao zina check and balance, sio huku kila mtu muhuni, maadili 0 watoto wataliwa sana.
Mkuu vyuoni huku shida tupu, karibu Kila chuo hivi vitu vipoMAPROFESA na VIONGOZI wa Tanzania nao ni feki na makanyanga ndiyo maana wameshindwa kuona hii logic nao wanapapasa papasa kama vipofu kutafuta njia za ufumbuzi wakati jambo lipo wazi kabisa, hata wangekuja kwangu nikiwa darasa la pili ningeweza kuwaeleza ufumbuzi ...cha kushangaza MAPROFESA na wabunge na mawaziri na marais wameshindwa kujua sababu wala kupata ufumbuzi...HUU NI USHAHIDI KUWA VYUO VYETU VINAZALISHA WASOMI WAPUMBAVU.
Mimi nipo university now,😄 Kweli mtu anaye jua ethics na misingi ya kazi hawezi kabisa
Sijakataa mkuu, ila lecture anaye jitambua hawezi kuandika huu upuuziMimi nipo university now,
Nimepita diploma Yapo sana hayo.
Mpk university japo university Kuna pesa ndo zinatumika sana.
Watu mna codes 😂Kwa huyu muandiko halali ujilie kimasihara..
Unaambiwa una malaria kumbe huna ni hovyo hovyo tu.
Yah kweli,Sijakataa mkuu, ila lecture anaye jitambua hawezi kuandika huu upuuzi
Huku university nimeona mdada mmoja hivi daaaa acha nitaleta Uzi siku.Na kuna hao wake za watu wanaokuja kujiendeleza kielemu.
Ni hatari.
Kmmk 🙌😄Kwa hiyo hao unaowapa maksi za mseleleko ndio wanakuja kutuhudumia huku mahospitalini? Acha Mungu aniponye
Muache adinye bhana Dunia yenyewe mapito 😄ukikua utaacha,, hakuna tuzo utakayo ipata kwa kudinya ke nyingi,
Akiwa anakula au anatoa marks?Weka picha 😎
Sure 😁Mtoto wa kike atavuka kote ila chuoni beki zitaachia tu
Hizo ni universal stds boya weweUpumbavu huu chanzo chake ni serikali pumbavu ya ccm na walimu kukosq akili ....siyo kukosa akili kwa kuwala wanafunzi bali ni kwa sababu jambo dogo kama hili ni jepesi kulitatua kwa kubadili mamlaka za mitihani yenye kuhukumu hatima ya mwanafunzi ...kwanini walimu ndiyo wawe na hiyo mamlaka kwa nini kusiwe na chombo cha mitihani kwa vyuo vyote ....tofauti na mitihani ya vyuo husika ...hiyo mitihani ya vyuoni isiusichwe na vyeti vyovyote vya kiserikali hivyo hakuta kuwa na sababu ya wanafunzi kutoa uchi ili kufaulu, wala hakutakuwa na huo uwezekano wa walimu au mwalimu kumfaulisha mwanafunzi kwa uchi au rushwa yoyote nyingine..
NI MPUMBAVU GANI ALIYE TOA MAMLAKA YA MWALIMU KUFAULISHA AU KUMFELISHA MWANAFUNZI JINSI ATAKAVYO YEYE....KWENYE MITIHANI YA FORM 4 HAKUNA HAYO MAMBO KWA SABABU MITIHANI WA KUHUKUMU HATIMA UNATUNGWA NA MAMLAKA TOFAUTI SIYO MWALIMU HUSIKA AU CHUO HUSIKA ...KOSA LIPO HAPO.