Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Hawa walimu wangetuhurumia tu sekta hii nyeti sana jamani 😁Kmmk 🙌😄
Hapo lazima ukatwe sikio Kwa Kesi ya kutibu tumbo 🙌
Hawa walimu wangetuhurumia tu sekta hii nyeti sana jamani 😁Kmmk 🙌😄
Hapo lazima ukatwe sikio Kwa Kesi ya kutibu tumbo 🙌
Msomi mavi wa udsm huyu😁Hizo ni universal stds boya wewe
Wwe mkulimaMsomi mavi wa udsm huyu😁
Ma IT WENGI AWAWEZI HESABU HATA ZA DARASA LA SABA ILA WAMEITIMU KUWA MA IT ...NINAYE RAFIKI YANGU NI IT HAJUIHATA HESABU ZA ASILIMIAMkuu vyuoni huku shida tupu, karibu Kila chuo hivi vitu vipo
Mimi mwenyewe kipindi nasoma diploma Yapo hayo, mpk vyuo vikuu kaka.
Nimetoa huu Uzi nimeeleza experience niliyoona ona, japo nimevaa uhusika kama mwalimu Tangu nipo diploma , mpk sasa nipo university.
GPA zinanunulika hata kwa fedha. Tu.
Hasa kukiwa na walimu vijana vijana, ndo changamoto sana, bola wazee hawana mambo haya.
Mnooo Dunia uwanja wa fujo Kwa kweliHawa walimu wangetuhurumia tu sekta hii nyeti sana jamani 😁
Nimefundisha kwa miaka 17 sijawahi kutembea na mwanafunzi wangu darasani, ukiwa na uhusiano na mwanafunzi darasani unakuwa na uhusiano na darasa zima, hakunaga siri na mwanafunzi, wote watajua na utashindwa kufanya kazi yako kwa ufasaha. Acha tabia ya kutembea na wanafunzi, inakushushia hadhi.Habari, mimi ni member ya JF , nimerudi Tena baada ya muda mrefu.
Mimi ni mtaalamu wa afya pia nafundisha chuo mpk sasa.
Sasa miaka kadhaa nyuma nilikuwa ni mwalimu katika chuo kimoja Cha afya, nilifundisha pale kwa miaka kadhaa, kabla sijahamu na kwenda chuo kingine.
Sasa niseme kwa ufupi kutoka na majaribu ya kazi.
Kazi hii bhana inamitego hasa ya watoto wa kike, sina kawaida ya kutongoza, bali ni wao wenyewe wanakuja kwangu, naamini hata kwa walimu wengine ni hivyo hivyo.
Na hili linakuja kutoka na baadhi ya masomo kuwa magumu kidogo, na baadhi ya wanafunzi kukupigia simu na kulialia kuhusu maksi na baadhi Yao niliyowala ni wale wanakuambia kabisa , mwalimu naomba mtihani mwingine na hata ninaweza kuja kwako kufanya mtihani.
Kuna kipindi nilikuwa nasema class mtihani ni mara Moja tu, ukifeli hakuna makeup, basi hio inasababisha sana watoto wa kike kusumbua sana.
Kuna darasa Moja nilikuwa mabinti kadhaa semester Moja. Darasa lilikuwa linawanafunzi wengi kidogo.
Na Kila semester nilikuwa nafundisha madarasa mawili.
Mpk Kuna mda kipindi nimetimiza mwaka mmoja na nusu nikaona kama watu wengine pale chuoni hata staff wanaweza kujua kuwa hii Tabia ninayo.
Ndo sababu ya kuama chuo na kwenda chuo kingine mpk sasa ndonilipo lkn bado naona hiki kitabia Cha watoto wakike kipo kusumbua last week nikula kidemu kimoja, sasa baada ya hapo naona baadhi wanaanza kunipigia simu sana.
Nimekazingua juzi, naamini anaweza kuwaambia wenzie njia ya kupata maksi ipoje.
Sijawahi kutongoza demu yoyote.
Hii ishu nafikili sometime inatokana na baadhi ya wanafunzi uwezo wao ni mdogo, wa kukabiliana na masomo ya afya haya.
Maana entry requirements za nacte zipo chini sana mtu kujiunga.
Sikuizi mnajidai wasomi kwa kufungia watu WiFi 😁😁😁 wakati ni kazi ya watoto wa primary school.Wwe mkulima
Kumiliki ki device chako cha kuingilia mtandaoni tayar ushaona umekuwa mbobez wa elimu
sawaSikuizi mnajidai wasomi kwa kufungia watu WiFi 😁😁😁 watati ni kazi ya watoto wa primary school.
Uongo wewe si mwalimu! Makosa haya hayawezi kukuhalalisha kuwa mwalimu. Unajua tofauti ya KBET na CBET kwa upande wa entry qualifications?Habari, mimi ni member ya JF , nimerudi Tena baada ya muda mrefu.
Mimi ni mtaalamu wa afya pia nafundisha chuo mpk sasa.
Sasa miaka kadhaa nyuma nilikuwa ni mwalimu katika chuo kimoja Cha afya, nilifundisha pale kwa miaka kadhaa, kabla sijahamu na kwenda chuo kingine.
Sasa niseme kwa ufupi kutoka na majaribu ya kazi.
Kazi hii bhana inamitego hasa ya watoto wa kike, sina kawaida ya kutongoza, bali ni wao wenyewe wanakuja kwangu, naamini hata kwa walimu wengine ni hivyo hivyo.
Na hili linakuja kutoka na baadhi ya masomo kuwa magumu kidogo, na baadhi ya wanafunzi kukupigia simu na kulialia kuhusu maksi na baadhi Yao niliyowala ni wale wanakuambia kabisa , mwalimu naomba mtihani mwingine na hata ninaweza kuja kwako kufanya mtihani.
Kuna kipindi nilikuwa nasema class mtihani ni mara Moja tu, ukifeli hakuna makeup, basi hio inasababisha sana watoto wa kike kusumbua sana.
Kuna darasa Moja nilikuwa mabinti kadhaa semester Moja. Darasa lilikuwa linawanafunzi wengi kidogo.
Na Kila semester nilikuwa nafundisha madarasa mawili.
Mpk Kuna mda kipindi nimetimiza mwaka mmoja na nusu nikaona kama watu wengine pale chuoni hata staff wanaweza kujua kuwa hii Tabia ninayo.
Ndo sababu ya kuama chuo na kwenda chuo kingine mpk sasa ndonilipo lkn bado naona hiki kitabia Cha watoto wakike kipo kusumbua last week nikula kidemu kimoja, sasa baada ya hapo naona baadhi wanaanza kunipigia simu sana.
Nimekazingua juzi, naamini anaweza kuwaambia wenzie njia ya kupata maksi ipoje.
Sijawahi kutongoza demu yoyote.
Hii ishu nafikili sometime inatokana na baadhi ya wanafunzi uwezo wao ni mdogo, wa kukabiliana na masomo ya afya haya.
Maana entry requirements za nacte zipo chini sana mtu kujiunga.
Kuwa na mahusiano siyo tatizo tatizo ni hayo mausihao kuusika na kufaulishana au kufelishana kwa mwanafunzi ...elewa tunacho zungumzia ...wewe ni mwalimu na unashindwa hata kuelewa mada .. sheria inaruhusu mwanafunzi wa chuo hata kuwa na mume au mke au kuwa na mpenzi ilimradi ana miaka 18Nimefundisha kwa miaka 17 sijawahi kutembea na mwanafunzi wangu darasani, ukiwa na uhusiano na mwanafunzi darasani unakuwa na uhusiano na darasa zima, hakunaga siri na mwananfuzi, wote watajua na utashindwa kufanya kazi yako kwa ufasaha. Acha tabia ya kutembea na wanafunzi, inakushushia hadhi.
ShesRise_1 realMamy cacuteeNimekazingua juzi, naamini anaweza kuwaambia wenzie njia ya kupata maksi ipoje.
LecturerLecture mzima hawezi Kuja na andiko LA namna hii.
Mahusiano ni tatizo, kwanini uwe na mahusiano na wanafunzi? Unjaua conflict of interests wewe? Unawezaje kuwa objective katika darasa ambalo unajihusisha na wabafunzi? Issue ya kufelishe ni upuuzi mwingine ndio maana sikutaka kuiongelea,Kwanini hufelishe wanafunzi?Kuwa na mahusiano siyo tatizo tatizo ni hayo mausihao kuusika na kufaulishana au kufelishana kwa mwanafunzi ...elewa tunacho zungumzia ...wewe ni mwalimu na unashindwa hata kuelewa mada .. sheria inaruhusu mwanafunzi wa chuo hata kuwa na mume au mke au kuwa na mpenzi ilimradi ana miaka 18
Hapa atuzungumzii ngono tu tunazungumzia yote yanayo weza kuhujumu mfumo wa elimu kwenye rushwa ya ngono au rushwa isiyo ya ngono .. wewe ukufanya rushwa ya ngono wala ngono ila uenda ulipokea rushwa ya pesa yenye lengo lilelile la kumfanikisha mwanafunzi kupata alama za juu kwenye masomo..mfumo ukiwa sahihi unatoa majibu hata kwenye hiyo conflict of interest unayo sema wewe ...hata walimu wanaopokea rushwa nao wanaweza kutumia hiyo hiyo hoja ya interests....mfumo sahihi hautoi mwanya kwa walimu au vyuo kufanya hayoMahusiano ni tatizo, kwanini uwe na mahusiano na wanafunzi? Unjaua conflict of interests wewe? Unawezaje kuwa objective katika darasa ambalo unajihusisha na wabafunzi? Issue ya kufelishe ni upuuzi mwingine ndio maana sikutaka kuiongelea,Kwanini hufelishe wanafunzi?
"Ndo sababu ya kuama chuo na kwenda chuo kingine mpk sasa ndonilipo lkn bado naona hiki kitabia Cha watoto wakike kipo kusumbua last week nikula kidemu kimoja, sasa baada ya hapo naona baadhi wanaanza kunipigia simu sana.
Nimekazingua juzi, naamini anaweza kuwaambia wenzie njia ya kupata maksi ipoje.
Sijawahi kutongoza demu yoyote."
Majibu yangu yalibase hapa.