Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

Mkuu unashamgaa hayo.
Vyuoni huku hatari, mpk GPA watu wanunua tu.
 

kufanya ngono kiholela na kwa watu tofauti tofauti ni kosa kubwa sana.

tarajia malipo ukija kuamua kutulia iwe baada ya ndoa au kabla ya ndoa.

binadam hua tunatembea na alama za matendo yetu.

ukikutana na mjuz wa mambo ya ukiroho atakutambua hata bila ya kukuuliza hivyo ndivyo itakavyo kua kwa wife wako atapata kisiran bila sababu na ubaya wake hicho kisiran hakitaondoka ni labda had muachane.

ngono kiholela ni kosa kubwa sana.

waache mkuu acha tamaa.

hata ulale na wanawake dunia nzima hutoridhika na hamna faida yeyote bali ni ukosefu wa akili tu unakuchanganya.

acha ngono za kubadili wapenz utajiharibia huko mbelen wah kabla.
 
Coursework ni janga kubwa kwa wanafunzi hasa wa kike.

Sasa hapa umetueleza namna unavyowasaidia alama za bwerere mabinti kwa exchange ya k, vipi kuhusu wanaume wasipofika Coursework huwa unawasaidiaje?
Mwanaume unadisco tu mkuu labda uwe winga wa kuwapa lecturers namba na connetions za mabinti. Maana kiuhalisia wengi hadi warahisishiwe mazingira, hivi hivi ni ngumu sana
 
Mwanaume unadisco tu mkuu labda uwe winga wa kuwapa lecturers namba na connetions za mabinti. Maana kiuhalisia wengi hadi warahisishiwe mazingira, hivi hivi ni ngumu sana
Wanaume kazi tunayo.

Ifikie mahali kwenye suala la ajira serikali na sekta binafsi wanapoajiri basi kigezo kikuu kisiwe ukubwa wa GPA bali kuwe na mchujo mkali wa interview ili kupata watu competent.

Ukiajiri kwa kuangalia GPA kubwa ndiyo utakutana na hizi GPA za kyupi ambapo kwenye cheti kuna mlima wa GPA ila kichwani patupu kabisa.
 
Baadhi ya watoto wa kike vyuoni hawasomi kabisa wao ni starehe mtindo mmoja wakitegemea free marks kutoka kwa lecturers wasio na maadili ya kazi.

Hapa ndipo unakuta cheti kina akili kuliko mwenye cheti.

Namaanisha kwenye cheti kuna GPA kubwa yenye marks za kyupi wakati kichwani ni bogus na empty headed kabisa.
 
Labda serikalini ambapo napo ni mfumo wa written na oral interview lakini napo GPA haiangaliwi.

Private sector ndio kabisa unless kwa baadhi ya mashirika ambayo yanataka fresh graduates. Hawa utawapimaje

Ila tusisahau pia kupata GPA kubwa inahitaji dedication na discipline vitu ambavyo hata makazini vinahitajika. So kwa wanafunzi kama ana uwezo wa kuipambania bhasi aipate. Hakuna sifa ya kuwa na GPA chini ya 3.0
 
Pale unaenda maabara unaambiwa una maralia na unaamua kwenda kurudia vipimo maabara tofaut na majibu yanatoka huna maralia bali una u.t.i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…