Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

Pale unaenda maabara unaambiwa una maralia na unaamua kwenda kurudia vipimo maabara tofaut na majibu yanatoka huna maralia bali una u.t.i
 
Lecture mzima hawezi Kuja na andiko LA namna hii.
Huyo siyo lecturer ni mkufunzi wa degree moja, mwenye kadigrii kamoja, lecturer wa chuo kikuu mwenye PhD hawezi kuongea upuuzi wa namna hiyo, mahusiano ya kimapenzi kati ya mwalimu wa chuo na mwanafunzi hayaruhusiwi.
 
Huyo siyo lecturer ni mkufunzi wa degree moja, mwenye kadigrii kamoja, lecturer wa chuo kikuu mwenye PhD hawezi kuongea upuuzi wa namna hiyo, mahusiano ya kimapenzi kati ya mwalimu wa chuo na mwanafunzi hayaruhusiwi.
πŸ˜„ Kweli mtu anaye jua ethics na misingi ya kazi hawezi kabisa
 
Sijui kwanini waTz tunapenda kushughulika na matokeo na si chanzo…… Umepoint concern ya msingi sana.

Tuna adapt mambo jumla jumla wakati sisi kama jamii tuna shida ya maadili, hii system ya mwalimu kubeba hatima ya mwanafunzi wa chuo ni nzuri kwenye nchi ambazo watu wana maadili na system zao zina check and balance, sio huku kila mtu muhuni, maadili 0 watoto wataliwa sana.
 
MAPROFESA na VIONGOZI wa Tanzania nao ni feki na makanyanga ndiyo maana wameshindwa kuona hii logic nao wanapapasa papasa kama vipofu kutafuta njia za ufumbuzi wakati jambo lipo wazi kabisa, hata wangekuja kwangu nikiwa darasa la pili ningeweza kuwaeleza ufumbuzi ...cha kushangaza MAPROFESA na wabunge na mawaziri na marais wameshindwa kujua sababu wala kupata ufumbuzi...HUU NI USHAHIDI KUWA VYUO VYETU VINAZALISHA WASOMI WAPUMBAVU.
 
Mkuu vyuoni huku shida tupu, karibu Kila chuo hivi vitu vipo
Mimi mwenyewe kipindi nasoma diploma Yapo hayo, mpk vyuo vikuu kaka.
Nimetoa huu Uzi nimeeleza experience niliyoona ona, japo nimevaa uhusika kama mwalimu Tangu nipo diploma , mpk sasa nipo university.
GPA zinanunulika hata kwa fedha. Tu.
Hasa kukiwa na walimu vijana vijana, ndo changamoto sana, bola wazee hawana mambo haya.
 
Sijakataa mkuu, ila lecture anaye jitambua hawezi kuandika huu upuuzi
Yah kweli,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sijawahi kuwa mwalimu,
Nimevaa uhusika tu, mtu anayefanya hivyo awezi andika hayo.
πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeandika kama mwanafunzi niliyoyaona.
Yani unakuta mwalimu anagombana mpk na mwanafunzi Kisha Binti wa darasani
 
Hizo ni universal stds boya wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…