Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

Ma IT WENGI AWAWEZI HESABU HATA ZA DARASA LA SABA ILA WAMEITIMU KUWA MA IT ...NINAYE RAFIKI YANGU NI IT HAJUIHATA HESABU ZA ASILIMIA
 
"Hii ishu nafikili sometime inatokana na baadhi ya wanafunzi uwezo wao ni mdogo, wa kukabiliana na masomo ya afya haya."

Usiwasingizie watoto wa watu.Inafahamika kuwa darasani lazima wawepo wenye uwezo na wasio na uwezo.Na suruhisho sio kuwambato na kuwagawia maksi.
Tatizo liko kwako,you are corrupt,na unachikifanya ni kinyume na maadili ya kazi ,pia ni kinyume na sheria
Suruhishobni wewe kutenda haki kulingana na maadili ya kazi yako
 
Nimefundisha kwa miaka 17 sijawahi kutembea na mwanafunzi wangu darasani, ukiwa na uhusiano na mwanafunzi darasani unakuwa na uhusiano na darasa zima, hakunaga siri na mwanafunzi, wote watajua na utashindwa kufanya kazi yako kwa ufasaha. Acha tabia ya kutembea na wanafunzi, inakushushia hadhi.
 
Wwe mkulima
Kumiliki ki device chako cha kuingilia mtandaoni tayar ushaona umekuwa mbobez wa elimu
Sikuizi mnajidai wasomi kwa kufungia watu WiFi 😁😁😁 wakati ni kazi ya watoto wa primary school.
 
Uongo wewe si mwalimu! Makosa haya hayawezi kukuhalalisha kuwa mwalimu. Unajua tofauti ya KBET na CBET kwa upande wa entry qualifications?
 
Kuwa na mahusiano siyo tatizo tatizo ni hayo mausihao kuusika na kufaulishana au kufelishana kwa mwanafunzi ...elewa tunacho zungumzia ...wewe ni mwalimu na unashindwa hata kuelewa mada .. sheria inaruhusu mwanafunzi wa chuo hata kuwa na mume au mke au kuwa na mpenzi ilimradi ana miaka 18
 
Umeamua kujipaisha wanafunzi wa kike hawako hivyo bwana umesikia tuu stori wewe kwenda zako.
 
Mahusiano ni tatizo, kwanini uwe na mahusiano na wanafunzi? Unjaua conflict of interests wewe? Unawezaje kuwa objective katika darasa ambalo unajihusisha na wabafunzi? Issue ya kufelishe ni upuuzi mwingine ndio maana sikutaka kuiongelea,Kwanini hufelishe wanafunzi?

"Ndo sababu ya kuama chuo na kwenda chuo kingine mpk sasa ndonilipo lkn bado naona hiki kitabia Cha watoto wakike kipo kusumbua last week nikula kidemu kimoja, sasa baada ya hapo naona baadhi wanaanza kunipigia simu sana.
Nimekazingua juzi, naamini anaweza kuwaambia wenzie njia ya kupata maksi ipoje.

Sijawahi kutongoza demu yoyote."
Majibu yangu yalibase hapa.
 
Hapa atuzungumzii ngono tu tunazungumzia yote yanayo weza kuhujumu mfumo wa elimu kwenye rushwa ya ngono au rushwa isiyo ya ngono .. wewe ukufanya rushwa ya ngono wala ngono ila uenda ulipokea rushwa ya pesa yenye lengo lilelile la kumfanikisha mwanafunzi kupata alama za juu kwenye masomo..mfumo ukiwa sahihi unatoa majibu hata kwenye hiyo conflict of interest unayo sema wewe ...hata walimu wanaopokea rushwa nao wanaweza kutumia hiyo hiyo hoja ya interests....mfumo sahihi hautoi mwanya kwa walimu au vyuo kufanya hayo
 
Kuna kijana mmoja wa kiume aliandika uku anaomba ushauri baada ya kuombwa mtaro na lecturer wa chuo na akatishiwa kuwa mkufunzi kashika hatima ya maisha yake ivo asipotoa mtaro iyo digrii ataisikia tu.Alishambuliwa sana hapa na wadau sijui aliishia wapi
 
kitakachofuata utaanza kuwatoresha mimba then malipo utayaona huko mbeleni, kila kitu unachokifanya duniani kiwe kizuri au kibaya jua kuwa lazima kuna malipo, Itafika wakati utatamani usingefanya hayo Unayoyafanya sasaivi, Acha mara moja rafiki yangu.
 
muda mwingine mtu haupendi ila wanawake wanamajaribu sana mungu akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…