Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

Una uhakika umemuelewa mwandishi aliyeleta huu uzi?
Mwandishi amezungumzia changamoto za watoto wa kike katika kutafuta maksi za bure, na kwa sehemu amezungumzia juu ya yeye kutumia nafasi yake kufaidika kwa ngono hii hoja ya pesa unaileta wewe, lakini bado sio hoja mfu inaweza kujadiliwa pia, Binafsi nimemjibu mwandishi na sio wewe kwa kuwa huhusiki kwa namna moja hama nyingine, jifunze kujali mambo yake, yasiyokuhusu yaache.
 
changamoto ni ile outcome yake, tunakuwa na taifa la hovyo kwasababu ya watu wachache wenye tamaa za mwili...
kuna mtu namjua kipindi hiko na yeye alikuwa anafundisha, halazi damu ila kutoa marks za bure au kumpa mtoto mtihani hiyo haipo.
maumivu yake ni huko huko.
 

Wewe umemaliza hata primary kweli ...mbona ubongo wako kama wa kuku ? Kwani hao wanafunzi wanatafuta maksi za nini kutoka kwa walimu ? Hizo maksi zina faida gani kwa hao wanafunzi? Kama zina faida ndiyo nilicho eleza hapo juu kuwa kosa ni mamlaka iliyo mpa mwalimu au chuo au shule kuwa na hiyo mamlaka ya MAKSI YENYE KUHUKUMU HATIMA YA MWANAFUNZI. ...TATIZO LAKO WEWE NI UANITHI WA AKILI NDIYO MAANA UNASHINDWA KUELEWA NINACHO ZUNGUMZIA ...WATU WENYE UANITHI WA AKILI NI TATIZO KWENYE KUELEWA LOGIC NA KUZIPAMBANUA. Changa moto za mleta uzi kazieleza hapa kuwa ni watoto wa kike kumzonga na vishawishi kwa sababu wanataka kufaulishwa na huyo mwalimu ..hivyo watoto wa kike wanatumia uchi na wakiume wanatumia pesa zaidi kuonga na kwa sababu ya huo upenyo, wapo walimu wao ndiyo wanautumia kuwatishia wanafunzi kuwafelisha ili wapewe rushwa ya ngono au pesa ...sasa mimi nikaeleza kosa ni hiyo mamlaka ya MAKSI ZENYE KUHUKUMU HATIMA ZA WANAFUNZI KUWA CHINI YA WALIMU AU VYUO ...TATIZO LIPO HAPO...Mfano form 4 uwezi kuonga uchi walimu wako ili wakupe majibu ya mtihani wa kumaliza form 4 ili upate maksi kubwa kwa sababu hiyo mitihani utungwa na mamlaka tofauti.
 
Vyuo vya private hivi,

Na diploma courses

Public universities haya mambo yalishaisha kama si kupungua kabisa

Ukiendekeza haya mambo utajikuta unazeeka huna unaloliaccoplish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…