Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Hamna tabia huniudhi kama mwanamke kuwa na zile "we fulani ninunulie soda fulani ninunulie chips " utaskia namtania
Hatari mtu wangu, halafu wengine wajanja, mwanaume unamhonga ukijua unamsaidia, kumbe mwenzio anajenga nyumba yake nzuri, na gari ananunua, mwanaume unabakia kuishi kwenye nyumba za kupanga

Binafsi kuna wadada hadi nimewakimbia, unakuta hujamtongoza wala hujamuomba hata namba ya simu, ni ile tu mmezoeana, ila karibia kila siku vizinga, looh princess ariana
Amn
 
ikiwa
1. mwanamke hana kipato imara
2. hawezi kunipigia simu tukaongea kwa dakika 15 non stop
3.haombi ombi pesa kilamara
4. hana kazi au biashara inayoeleweka
5. msumbufu na mlalamikaji kila mara
6. hana utulivu wa akili , na hana tamaa za kijinga
7.hana mawazo chanya


mwanamke wa aina hiyo siwez date nae
 
ikiwa
1. mwanamke hana kipato imara
2. hawezi kunipigia simu tukaongea kwa dakika 15 non stop
3.haombi ombi pesa kilamara
4. hana kazi au biashara inayoeleweka
5. msumbufu na mlalamikaji kila mara
6. hana utulivu wa akili , na hana tamaa za kijinga
7.hana mawazo chanya


mwanamke wa aina hiyo siwez date nae
namba 5 hii ni adim sana.
 
Back
Top Bottom