Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya

Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema.


Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda

Kweli nime amini, mapenzi hayana formulae popote, saa yoyote unajikuta tu usha mpenda mtu 😘, Jamani mapenzi hayana stahaa


Naombeni ushari Niendelee ni ache na ogopa kumizwa bore maana machozi ya kulia sina.🙏
Waulize wenzako akina Leejay49 watakupa majibu yatakayokufanya ufanye uamuzi murua
 
Nyie huko kaeni mitoni juu ya mawe sijui mtarushiana mawe 😂
Huku porini kila mtu anaoga kivyake huko, mm nachunga yy kaja kufata kuni porini tunakubalini location na mda ko ikifika hyo mida nakua napiga mluzi mara Moja Moja ili ajue nipo wapi hiyo dabi itakayopigwa Hapo inaitwa never seen before🤣🤣
 
Back
Top Bottom