makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Jitahidi ukuje huku.
Kwanza Tuweke wazii we umru wako ni Gan8 mapaka huyu jamaa wa miaka 31 unamuita Mtoto....!? Maana sielew huenda wew ni mzee!Wakubwa habari zenu?
Leo naleta mada hapa ila kiukweli nina amani na furaha tele ingawa jana nimepigwa kibuti.
Huyu jamaa kwa kweli haeleweki. Yeye mwenyewe pia hajielewi anataka nin katika haya maisha. Ni kijana wa miaka 31, ameajiriwa na amepanga chumba kimoja. Tumefahamiana naye muda mrefu sasa.
Tulipofahamiana, mwenzangu alikuwa akiniheshimu. Na bila kujisifia kiukweli mimi naweza kuwa na mapungufu mengi kama binadamu yeyote lakini kwa kuwa mtiifu, kutohangaika na wanaume na kuwa na mapenzi ya kweli, kiukweli hilo kombe linanihusu.
Sasa sielewi kama mwenzangu amenizoea sana yani sijui. Lakini nilianza kugundua mwenzangu ana vitabia vya kufanya mawasiliano ma ex zake hadi usiku. Jambo ambalo binafsi lilinikera sana. Nilipojaribu kuongea naye, kiukweli alikubali kuwa anachat na mtu ambaye wanalong distance relationship, mwanafunzi wa chuo, 21 years na wamekutana mara mbili toka wafahamiane.
I was very shocked ila nilimbana kuwa achague mtu mmoja abaki naye ili tusiendelee kuumizana. To my suprise, alidai kuwa yeye hana mpango wa kumuacha hata mmoja including me na hataki mwanamke wa kumwambia aache tabia za kuchat na wanawake wengine na yule mwanafunzi ananijua kwa kusikia toka kwake na wala hana tatizo na hilo.
Kwa kweli jambo hili lilinifikirisha sana. Kipindi hiki wakati watu wanahangaika kufanya kila aina ya miradi kuendana sawa na maisha, mwenzangu yuko busy anawaza wanafunzi. Mwanafunzi ambaye anamjibu "Hiyo pesa unatuma au hutumi?" Yeye mwenyewe mshahara haumtoshi hata inanilazimu wakati mwingine kucover expenses ndogondogo.
Conclusion yetu wala haikuwa kwa kugombana wala kupeana maneno machafu, aliniweka wazi kuwa mimi ni muhimu kwake lakini hawezi kuacha kuchat na watoto wake so kama nitavumilia hilo nibaki naye. Kwa kweli, hata kwa kupretend, siwezi baki na mwanaume wa aina hii ambaye anaonyesha dharau kipindi hiki cha mwanzo. Mwanaume ambaye hajui nini anataka katika maisha yake. Niliomba ni bora niondoke katika maisha yake abaki na amani ya kuendelea kuchat.
Kama akijisikia kuoa huyo binti kwa kweli kwangu its real okey sababu siwezi kugombania mwanaume.
Mkuu sidhani kama kipengele cha umri kina matter sana. Kama kweli kungekuwa na upendo, hilo si la msingi. Wapo waliooana wakiwa ni agemate, wapo waliozidiana miezi na wale ambao wanawake ni wakubwa zaidi ya mwanaume. Amenizidi 2 yrs na sioni kama ina matter.old vs young , young blood always win dada kubali umepinduliwa tafuta utaratibu mwingine , mwanaume kufnya mambo hayo ni wazi anataka uondoke mwenyewe , utapata satisfaction kwamba umevunja uhusiano lakini yeye alikuacha kitambo jiongeze tu.
Ni kweli kipenda roho hula nyama mbichi lakini huyo jamaa wa Meridah Tough ni nyama mbovuKipenda rohoo hula nyama mbichi
Anahisi kuwa ninampenda sana na siwezi kuondoka kwake. Hata akisikia natoka na mtu mwingine, hatoamini. Lakini hajui kuwa uwa inafika kipindi, mwanamke akichoka, anamaanisha amechoka.Inawezekana anahisi huna pa kwenda ukijitahidi sana utatumika tuu ila hakuna wa kukuvisha Pete. Ukimpa kadi ya harusi itamshtua kidogo. Ila sasa tatizo ni kuipata hiyo kadi. .
Ushauri: Bado unampenda huyu mtu. Kuwa makini.