Zero Star
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 4,287
- 8,707
👍....huo mwema unatoka wapi mkuu kat sijaoaUsiku mwema mkuu
👍....huo mwema unatoka wapi mkuu kat sijaoaUsiku mwema mkuu
Unafanya hivo usha yapatia maisha, ila kama ndo wale wa ukiumwa unaanza kusumbua ndugu michango, hapo utaangukia puaDooh ani mtu anakuambia kabisa anacheat na hakuachi wewe wala mchepuko
Mapenzi bwana bora Mtu akucheat kwa Siri na ukimdaka aoneshe kujitetea kuliko huyo anaekubali Namna hio. Mapenzi yenu yatakua hayana Maana Sasa hapo
Bongo kufikia Open relationship kama US Bado sana, Ninae rafiki yangu mzungu(ke) yeye yup kwny Open marriage na jamaa ake yan fresh mtu anamichepuko alaf hakuna noma anadunda nae and everybody knows
Umefanya vema kuachana na huyu kijana asiyejitambua, ungeendelea kuishi na huyu jamaa angekuumiza moyo au hata pengine ungekuja kujiua kwa presha ya mapenzi.Wakubwa habari zenu?
Leo naleta mada hapa ila kiukweli nina amani na furaha tele ingawa jana nimepigwa kibuti.
Huyu jamaa kwa kweli haeleweki. Yeye mwenyewe pia hajielewi anataka nin katika haya maisha. Ni kijana wa miaka 31, ameajiriwa na amepanga chumba kimoja. Tumefahamiana naye muda mrefu sasa.
Tulipofahamiana, mwenzangu alikuwa akiniheshimu. Na bila kujisifia kiukweli mimi naweza kuwa na mapungufu mengi kama binadamu yeyote lakini kwa kuwa mtiifu, kutohangaika na wanaume na kuwa na mapenzi ya kweli, kiukweli hilo kombe linanihusu.
Sasa sielewi kama mwenzangu amenizoea sana yani sijui. Lakini nilianza kugundua mwenzangu ana vitabia vya kufanya mawasiliano ma ex zake hadi usiku. Jambo ambalo binafsi lilinikera sana. Nilipojaribu kuongea naye, kiukweli alikubali kuwa anachat na mtu ambaye wanalong distance relationship, mwanafunzi wa chuo, 21 years na wamekutana mara mbili toka wafahamiane.
I was very shocked ila nilimbana kuwa achague mtu mmoja abaki naye ili tusiendelee kuumizana. To my suprise, alidai kuwa yeye hana mpango wa kumuacha hata mmoja including me na hataki mwanamke wa kumwambia aache tabia za kuchat na wanawake wengine na yule mwanafunzi ananijua kwa kusikia toka kwake na wala hana tatizo na hilo.
Kwa kweli jambo hili lilinifikirisha sana. Kipindi hiki wakati watu wanahangaika kufanya kila aina ya miradi kuendana sawa na maisha, mwenzangu yuko busy anawaza wanafunzi. Mwanafunzi ambaye anamjibu "Hiyo pesa unatuma au hutumi?" Yeye mwenyewe mshahara haumtoshi hata inanilazimu wakati mwingine kucover expenses ndogondogo.
Conclusion yetu wala haikuwa kwa kugombana wala kupeana maneno machafu, aliniweka wazi kuwa mimi ni muhimu kwake lakini hawezi kuacha kuchat na watoto wake so kama nitavumilia hilo nibaki naye. Kwa kweli, hata kwa kupretend, siwezi baki na mwanaume wa aina hii ambaye anaonyesha dharau kipindi hiki cha mwanzo. Mwanaume ambaye hajui nini anataka katika maisha yake. Niliomba ni bora niondoke katika maisha yake abaki na amani ya kuendelea kuchat.
Kama akijisikia kuoa huyo binti kwa kweli kwangu its real okey sababu siwezi kugombania mwanaume.
Mbona mnatuwowa sana tuNasisi Wazee tusha wafahau nyie Vijana Mnaumizwa sana kwenye Mahusiano Yenu Uko.Tuta endelea kuwachapa Rungu Tu Na Alikasusu.
Kwa kifupi kakuacha ila hakutaka kukutamkia ili uachie ngazi mwenyewe...Wakubwa habari zenu?
Leo naleta mada hapa ila kiukweli nina amani na furaha tele ingawa jana nimepigwa kibuti.
Huyu jamaa kwa kweli haeleweki. Yeye mwenyewe pia hajielewi anataka nin katika haya maisha. Ni kijana wa miaka 31, ameajiriwa na amepanga chumba
Sawa, ngoja niendelee kusubiri.
Huyo alidhamiria kuacha tu wala hamna lingine😂😂😂Dooh ani mtu anakuambia kabisa anacheat na hakuachi wewe wala mchepuko
Mapenzi bwana bora Mtu akucheat kwa Siri na ukimdaka aoneshe kujitetea kuliko huyo anaekubali Namna hio. Mapenzi yenu yatakua hayana Maana Sasa hapo
Bongo kufikia Open relationship kama US Bado sana, Ninae rafiki yangu mzungu(ke) yeye yup kwny Open marriage na jamaa ake yan fresh mtu anamichepuko alaf hakuna noma anadunda nae and everybody knows
Atakutana nae wapo wengi tu ila ndio hela hawana 😁😁😁 mwenye kazi lazma awe na michepsSwali rahisi tu, unadhani huko uendako ndo utakutana na mwanaume ambaye ha-cheat? Tuliza hasira zako bi dada, kaa na mwenzako mueleze na kumbushe yapi yalikuwa malengo yenu!
inaonekana bado unampenda sana alafu yeye hakupendi kama wewe unavyompendaHuyu alikuwa anaficha. Lakini hawezi kunidanganya hata kidogo. Kwa hiyo nilimbana na ushahidi kabisa hata akaweka wazi hili swala. Na anajua hawezi kuniambia tu "Am sorry sitafanya tena," sababu nitahitaji kuona baadhi ya vitendo kuthibitisha. Kwa hiyo nafuu yake ni kusema ukweli tu.
Siwezi kulazimisha kuwa labda ananipenda, hilo jibu analo yeye na moyo wake.Mara kapanga chumba kimoja, mara starehe mara hajielewi!
Huyo jamaa anajielewa sana ila ukweli ni kwamba hakupendi.
Inawezekana pia.inaonekana bado unampenda sana alafu yeye hakupendi kama wewe unavyompenda
inaumaga kichiziinaonekana bado unampenda sana alafu yeye hakupendi kama wewe unavyompenda
Bora ukweli mkuuKwa kifupi kakuacha ila hakutaka kukutamkia ili uachie ngazi mwenyewe...
Kupanga ni kuchagua na yeye amepanga akachagua kuwa baba wa mtoto huyo wa hiyo pesa utatuma hutumi!
Au ninasema uongo ndugu zangu?
Sababu hana misimamo kama mwanaume. Hata leo ananitumia ujumbe kunilaumu kwanini simtafuti wakati jana tumekubaliana kila mtu ashike lake, anajisahaulisha. Namwitaje mkubwa sasa ingawa yeye ni mkubwa kwangu.Sawa pole ila umekosea kumuita mtoto halafu ukataja miaka 31 kuna wengine wamekuwa kiakili.
Kiufupi nimegundua huwenda wewe ni mkubwa kwake ama la basi hakupendi tu.