hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
[emoji1787][emoji1787]manyaku nyakuKaribu tufanye mambo ya muhimu na ya msingi kwa pamoja huku tukiendelea kuziba hilo jimbo!
[emoji1787][emoji1787]manyaku nyakuKaribu tufanye mambo ya muhimu na ya msingi kwa pamoja huku tukiendelea kuziba hilo jimbo!
Sasa nifanyeje na ninaona mapichapicha tuYaani unakubali kushindwa kirahisi namna hiyo mkuu?
[emoji16]Karibu dm
Dooh ani mtu anakuambia kabisa anacheat na hakuachi wewe wala mchepuko
Mapenzi bwana bora Mtu akucheat kwa Siri na ukimdaka aoneshe kujitetea kuliko huyo anaekubali Namna hio. Mapenzi yenu yatakua hayana Maana Sasa hapo
Bongo kufikia Open relationship kama US Bado sana, Ninae rafiki yangu mzungu(ke) yeye yup kwny Open marriage na jamaa ake yan fresh mtu anamichepuko alaf hakuna noma anadunda nae and everybody knows
[emoji23] [emoji23] [emoji23]..Kweli huyo ni mtoto.
Mimi Nina wanawake wawili.lakini wote nawaheshimu.nikiwa na huyu anajua yupo peke yake na nikiwa na Yule anajua yupo peke yake.
na ninaiheshimu Sana SIMU YANGU kuliko kitu chochote.
[emoji1787][emoji1787]manyaku nyaku
Kwahiyo mtoto mzuri tunafanyaje sasa ..achana na huyo bwege asiyejua kuheshimu hisia zako ...let's connect 1st tupeane michongo mbali mbali ya utafutaji DM kuna fursa kibao mtaani zina subiri watu ambao wanao jitambua ili ziweze kuwa nyanyua katika maisha yao ...Sasa nifanyeje na ninaona mapichapicha tu
[emoji16][emoji16][emoji16]aisee hataki kuchezeana mtoto wa watu anataka plan mbali mbali za kutatua changamoto za maishaAmechoka kuchezewa aje upande wa pili tuchezeane[emoji23][emoji23]
Take it or leave it....😅I hope unamaanisha part,
party ni Chadema tu siyo ccm🤣🤣
party ni kushereheka.
#samahanilakini
I leave it 🤣Take it or leave it....😅
Huyo ni baharia bado hajawaza kuoa bado so bidada achape mwendo, asitese nafsi yakeSidhani kama utamuacha umeshapenda hapo,kuleta uzi hapa ni kutafuta nafuu ya moyo na kuambiwa ni kawaida kwa mwanaume kucheat
Ila bibie fikiria huna hata ndoa ushaanza cover expenses ndogo ndogo je mkiingia huko ndoan si utagharamia hadi hao wanafunzi bila kufahamu au kwa kufahamu ili mradi unabembeleza penzi
Dogo kamwona bidada desperate, Dada Hata kama Upo desperate ficha aibu yako
Naona shida Hapa..Hapana mkuu, kwa sasa hata mi niliona nipumzike nifanye mambo ya msingi zaidi. So tutafutane baada ya miezi kadhaa mbele please, nitakufikiria.
[emoji16][emoji16][emoji16]aisee hataki kuchezeana mtoto wa watu anataka plan mbali mbali za kutatua changamoto za maisha
Kuongelea plan au kitu ambacho kinakera katika mahusiano ndicho kinamfanya mtu awe despetare?
Nasisi Wazee tusha wafahau nyie Vijana Mnaumizwa sana kwenye Mahusiano Yenu Uko.Tuta endelea kuwachapa Rungu Tu Na Alikasusu.Ndo maana nazimika na midude ya 40+ hukoo no stress walahi nadeka napendwa nabembelezwa mpk najionea wivu Mimi mwenyewe, pole mrembo wewe chapa lapa huna chako hapo
Ayaah nenda kalale sasa..😅I leave it 🤣
Usiku mwema mkuuAyaah nenda kalale sasa..😅