Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana

Huyo anatambua dhahiri kuwa umri wake na majukumu yake kwa muda huu hakuna mtu mwingine wa kuziba hilo pengo zaidi yako ndio maana kukuacha hawezi na mtoto wa chuo ndio wa ndoto zake kwa akili aliyo nayo.

Emb jaribu kumpa heshima yake kama mume na yeye ajue kwamba yeye ndio last say katika kila kitu chako maisha yako kwa ujumla ili ajiamini kwamba anaweza kukutawala kwa kila nyanja af uone kama atamkumbuka huyo denti
Kuna nyama ukilazimisha kula zinakuletea madhara makubwa na hautoifurahia.
 
nadhani bado unampenda mkuu, sijaona cha maana hata ulete bandiko hili ikiwa usha-move on, nadhani moment za sebene lake zinakutafuna taratibu hivo unatafuta faraja huku ndani.
 
Anachotaka anakijua na alikwambia mbona.Point yako ni useme tu huwezi na hutaki, maana tuko tofauti wapo watakaomuweza ndio maana wenzetu waislam wanaolewa zaidi ya mmoja na wanaweza.
Nasema hivyo kwa kuwa sisi wote ni wakristo. Na baba yake ni Mchungaji. Kwa hiyo ni lazima siku moja afanye maamuzi ya nani anayehitaji kuanzisha familia. Ikiwa yeye mwenyewe hana uwezo wa kujisimamia vizuri, je vipi kusimamia wanawake wawili?
 
Kweli huyo ni mtoto.
Mimi Nina wanawake wawili.lakini wote nawaheshimu.nikiwa na huyu anajua yupo peke yake na nikiwa na Yule anajua yupo peke yake.
na ninaiheshimu Sana SIMU YANGU kuliko kitu chochote.
 
pole sana....sasa kwani wewe moyo wako unapenda nini...? ebu upe moyo wako kitu kile unacho kipenda...faanya maamuzi yale ambayo yanapendekezwa na moyo wako...!
 
Nasema hivyo kwa kuwa sisi wote ni wakristo. Na baba yake ni Mchungaji. Kwa hiyo ni lazima siku moja afanye maamuzi ya nani anayehitaji kuanzisha familia. Ikiwa yeye mwenyewe hana uwezo wa kujisimamia vizuri, je vipi kusimamia wanawake wawili?
Kwani kasema anataka kuoa au unamsemea? Anajua fika muda wake wa kuoa atamchagua nani,unafikiri hajui, huko kujifanya mtoto ni ili usome alama za nyakati ujitoe, na umefanya sahihi.
 
...kama ukampenda play your party, wanawake wananafasi kubwa sana ya kuwabadilisha wenza wao.

Yaani mnaushawishi ambao ata shetani hana,tatizo wengi mnapoteza ule ujasiri pale mnapoolewa au kuwekwa Kwenye ile nafasi ya mke....sijajua kwanini.

Huyo mwanaume anachofanya apo ni kujifurahisha tu,yaani wanaume huwa tunachepuka only for funny...kama mke ana play vizur party yake, akili yote ya mwanaume itakuwa kwa mkewe tu.

USIJARIBU NA WEWE UKACHEPUKA, WANAWAKE WAKICHEPUKA NA AKILI NAYO HUCHEPUKA.
-----------------------------------------------------------
Katka kuplay part yako,tumia hii law of attraction.

Don't put attention on things that you don't want...hutaki acheti au awe na mahusiano na wanawake wengine,kwamaana unataka awe wako na mfunge ndoa na mfike mbali Basi you have to feel the way you want...

Watu wengi huwa wanafikiria na kuvuta hisia Kwenye vtu ambavyo hawavitaki ktk maisha yao mwisho wa siku hivyo vitu huwatokea na kuendelea kuwatokea...kwa sababu they're focusing on things that don't want.

Ipo hivi mawazo na hisia zako ni kama sumaku...zinauwezo wa kuvuta chochote nje ya mwili wako kama tu utaziweka ktk utendaji either hasi au chanya.

Mfano:- siku amka asubuhi afu hisi na fikiria kama unaumwa malaria ata kama haumwi fanya hvi kwa muda wa wiki 1 afu uje unape feedback...nini kitakutokea?

Kuna ule usemi masikini ataendelea kuwa masikini na tajiri ataendelea kuwa tajiri....unajua kwanini?

Hili ni darasa pana Sana...naomba ushike hii pont... feel and think the way you want to be and take a time to be grateful for what you have (in positive way).
 
Nimesoma hii mahala mkuu.
 
I hope unamaanisha part,
party ni Chadema tu siyo ccm🤣🤣
party ni kushereheka.
#samahanilakini
 
nadhani bado unampenda mkuu, sijaona cha maana hata ulete bandiko hili ikiwa usha-move on, nadhani moment za sebene lake zinakutafuna taratibu hivo unatafuta faraja huku ndani.
umemaliza kila kitu mkuu.
 
Ndo maana nazimika na midude ya 40+ hukoo no stress walahi nadeka napendwa nabembelezwa mpk najionea wivu Mimi mwenyewe, pole mrembo wewe chapa lapa huna chako hapo
 
angalau wa kukufaa wewe akuzid 5-10 so jione upo na kijana maskin bado kwanza umr huo mwanaume utamuonea
 
Back
Top Bottom