Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana

Nauomba uongozi wajf ufute nyuzi zangu zasiku zanyuma. I want be really

Naomba nije pm
 
Kwanza Tuweke wazii we umru wako ni Gan8 mapaka huyu jamaa wa miaka 31 unamuita Mtoto....!? Maana sielew huenda wew ni mzee!
 
old vs young , young blood always win dada kubali umepinduliwa tafuta utaratibu mwingine , mwanaume kufnya mambo hayo ni wazi anataka uondoke mwenyewe , utapata satisfaction kwamba umevunja uhusiano lakini yeye alikuacha kitambo jiongeze tu.
 
Mkuu sidhani kama kipengele cha umri kina matter sana. Kama kweli kungekuwa na upendo, hilo si la msingi. Wapo waliooana wakiwa ni agemate, wapo waliozidiana miezi na wale ambao wanawake ni wakubwa zaidi ya mwanaume. Amenizidi 2 yrs na sioni kama ina matter.
 
Kuongezeka umri sio kupevuka kiakili....miaka hii kuna watu Wana miaka 50 na mitoto kiakili bado!
Heri yako umejitoa kabla hali haijawa tete
 
Inawezekana anahisi huna pa kwenda ukijitahidi sana utatumika tuu ila hakuna wa kukuvisha Pete. Ukimpa kadi ya harusi itamshtua kidogo. Ila sasa tatizo ni kuipata hiyo kadi. .

Ushauri: Bado unampenda huyu mtu. Kuwa makini.
 
Anahisi kuwa ninampenda sana na siwezi kuondoka kwake. Hata akisikia natoka na mtu mwingine, hatoamini. Lakini hajui kuwa uwa inafika kipindi, mwanamke akichoka, anamaanisha amechoka.
Yan kama mimi nimechoka kabisa ndio mana sitaki kurudi ingawa yuko radhi niwe naye.
Mkuu usiwaze mambo ya kadi lol...
Mimi sina mchecheto na ndoa ila ninapendelea mahusiano yasiyokuwa na drama kukimbizana, kuchunguzana, kuishi bila uhakika na mtu nk. Magonjwa pia ni mengi.
 
Ukiona mwanaume anakuonyesha dharau za waziwazi jua una shida sehemu flani...huenda yupo na wewe kusogeza mida tu ampate wake anaaemkubali na kumwelewa,kimuonekano humvutii,n.k hapo jiengua tu kafanye maisha yako

Kwa kipindi hiki kigumu unatakiwa upate watu wa karibu sana wakukucomfort karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…