Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Hahaaa!!!! Huyo mweupe akili imelala kivipi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukavu si unategemea na maandalizi? Au weusi wao wanakuaga wet bila kuandaliwa? kwanza nilisikiaga weupe ndo wanakuaga na maji mengi down there.
Ni kinyume chake. Weusi wako wet zaidi na hisia zaidi pia. Kuna wengine hata wafanyiwe maandalizi nature yao ni wakavu. Ila generally weupe huvutia zaidi kimwonekano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yahe wewe yaelekea ni ngosha, siku hizi hao viumbe ni viti vya mabasi kila mwenye pesa yake anapanda tu! so mwanaume mjanja ni yule mwenye pesa tu!
 
Hapo mwisho umemalizia vizuri...
Ukweli lazima usemwe. Ukikuta msichana mweupe wa asili hajajichubua na katunza ngozi yake vizuri kweli anavutia. Linalonichanganya ni pale mtu ana weupe na bado anaongeza mkorogo mpaka mishipa mieusi inaonekana! Hapo nasema afadhali mweusi. Hivi huwa hakuna vipodozi vinavyoweza kuwafanya ngozi iwe nyororo bila kujichubua? Mwanamke akiweza kufanikisha hilo karata yangu anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi karata yako ninayo tayari... nina rafiki mweupe kama mwarabu ila nae anajichubua... weupe haujawahi kutuacha wanawake salama ujue.
 
Basi karata yako ninayo tayari... nina rafiki mweupe kama mwarabu ila nae anajichubua... weupe haujawahi kutuacha wanawake salama ujue.
BIG Up! Yaani usije tenguka kuwafuata wanaojichubua. Bora ugharimike vipodozi vya kulainidha ngozi na siyo kubadili rangi. Hata sijui hao weupe halafu wanajichubua huwa wanatafuta nini, mpaka sielewi. Na ukiwaeleza mtagombana kwakuwa wanaona wengine wanajichubua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ule weupe wa kununua manzi anakuwa wa pinki, alafu huku kwenye makwa kunakuwa na mistari stari flani haieleweki huko ndani unakuta vidoa doa.....hii copy........
 
Mimi hapana! Mke mweupe hana nafasi na wala hanipi mzuka.... Ugonjwa wangu ni mwanamke mweusi mng'avu, mrefu na umbo la kati na mwenye kiuno cha dondora, sio msambwanda mkuuuuubwa!.. Kaduchu tu.... Hapo nafunga breki za mbele kabisa.....
 
I'm not black ila naona watu wanavyohangaika kutumia chemicals ili wawe weupe. Ila weupe unavutia bwana
Tuko tofauti saaana aisee! Miki mwanamke mweupe, hapana! Na mpenzi wangu siku akijaribu kujichubua tu, namuacha taslimu!
 
Asante mbitiyaza ila mnatubagua weusi[emoji27]

Sent using Jamii Forums mobile app


hahahahah ww sasa endlea kulia lia hapa!mie sio white alafu ni chocklate color! wala sijawah shawishika kujichubua na kuwa km majini aic! kwanza wanangu watacheka sana sana sana lol! tujikubali tu na rangi zetu muyego! hiyo pic ulotuma na mm nakaribiana na rang hyo na nina aman tele! tutafute tu chapaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…