Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

...and black is beautiful. Nakubaliana na wewe rangi zote ni bomba hata weupe pia kama ni weupe ule wa kuzaliwa na si wa mkorogo.
Yap,,sasa weusi iweje waponde weupe kuwa wabaridi,wakati hata kuna weusi wa baridi piaa hiyo dhana sijui walitoa wapi
 
Reactions: BAK


hahhhahh! team nyambizi oyeee
 
Mh! mie hata siwezi kuingia kwenye hiyo mada ya wabaridi au wamoto hasa inapokuja kwa Waafrika wenye rangi kama Zari na walio weusi.
Si ushaonja wa rangi zote hebu sema ukweli
 
Reactions: BAK
Noooooo you did not go there! lol! Ndiyo sababu nikasema sitaki kwenda kwenye hiyo topic ya wabaridi na wamoto. Kwa maoni yangu wote bomba tu ila usisahau wahenga walisema, "Kipenda roho hula nyama kavu" lakini kwangu mimi wote ni bomba sana tu. Nawe una preference ya wanaume wenye rangi na wale weusi?

Si ushaonja wa rangi zote hebu sema ukweli
 
Sawa naona unakimbiaa ahahha

Mi mwanaume yeyote ili mradi handsome tu mwenye mvuto
Awe mweupe ,mweusii,maji ya kunde sawa tu ili mradi anivutie tu
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…