Kuwa single mateso

Nini hasira tena
Afu leo umepata kibarua nini maana umeniacha online me na @mzabzabπŸ˜’
Kulipata bundle ilibidi hadi kufua na kusafisha banda la kuku, ndio bi mdash kaninga cha buku mbili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kulipata bundle ilibidi hadi kufua na kusafisha banda la kuku, ndio bi mdash kaninga cha buku mbili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aaahh madogo leo wameenda shule ndo maana. Kama nakuona ulivyonyanyua miguu kwenye hayo makochi unaperuzi zako baada ya kazi ngumuπŸ˜†πŸ˜†
 
Aaahh madogo leo wameenda shule ndo maana. Kama nakuona ulivyonyanyua miguu kwenye hayo makochi unaperuzi zako baada ya kazi ngumuπŸ˜†πŸ˜†
Aaah wapi naingia jikoni sasa hivi kuwapikia mmbwaaa.. Ila ipo siku yanguu tuuu na mie ntabarikiwaa😊😊
 
Ndio ivyo wanaume wakweli tumebaki wachache sanaa πŸ˜’πŸ˜’, ila mbona mzabzab ni jobless mwenzangu ila ana wapenzi.. Au mie kwakua houseboy wa home😟😟
Ndio jaman mwanaume toka hata nje ukabebe zege na magunia ya mcheleπŸ˜’unakaa ndani kama utumbo akhaaaa sikutaki mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…