Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Wewe wasema..ila kwa sisi walimwengu wewe Ni mrembo uliyerembwa kwelikwelisina urembo wa kutisha
nipo kawaida sana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasema..ila kwa sisi walimwengu wewe Ni mrembo uliyerembwa kwelikwelisina urembo wa kutisha
nipo kawaida sana
Wee acha tu 😎Hakika ni mbaya sana ni vile nifanyeje ila sipendi
kioo kinanidanganya basi huwa naona nipo kawaida mno .Wewe wasema..ila kwa sisi walimwengu wewe Ni mrembo uliyerembwa kwelikweli
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuanzia leo kiambie kioo 'acha uongo Mimi Ni mrembo sn' na Kama unatumia kioo Cha pikipiki acha kabisa maana hicho zinaongopa zaidi..kioo kinanidanganya basi huwa naona nipo kawaida mno .
asante sana vipi habari ya leo ?
😂😂😂Mkuu huyo sophy27 nitakuua tafadhali..naomba umwache
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
asante natumia kioo cha bukuKuanzia leo kiambie kioo 'acha uongo Mimi Ni mrembo sn' na Kama unatumia kioo Cha pikipiki acha kabisa maana hicho zinaongopa zaidi..
Habri tangu Ni nzuri ssn
Sawa mkuu changamka upate mwenzako. Ila mie ni she[emoji3][emoji3] naona jina langu limekuchanganyaDah ahsante acha tu kaka najisikia vibaya sana sipend kuwa single ni vile tu nifanyeje
Sasa Kwa nn uwe na Hela? Ficha kama hutaki akujue Ili upate unachokitaka.Ukiwa na hela huwezi pata mapenzi ya kweli maana hela ndio zinapendwa, nikiona hivi naona bora kutokujiingiza moja kwa moja kwenye mahusiano sababu mtu anaangalia anafaidikaje na haya mahusiano.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hahaha unataka wote tulale kama miti iloanguka njiani etPole. Naomba msaada wako tafadhali
Hujakosea hata mimi nimechoka na ninaogopa kuanzisha mahusianoNa wanaosema wanaenjoy kuwa single ni waliowahi kuachwa wanaogopa tu kuanzisha mahusiano hakuna raha yoyote
Tuko busy na KAZI sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona self service ujaisemaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo mda utumie kutubu madhambi yako kwa MunguMh hamna bhna single shida kuna mda unatamani u share kitu mta mubebe ila ndo huna unabaki nalo moyoni
Ubusy gani mlionao nyie bwana. Dunia yenyewe hamtawali nyie. Rais wa dunia pamoja na ubusy wake wote lakini alipata muda wa clintonian sexscapadesTuko busy na KAZI sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kuenjoy kwenye usingo,...
Kuna wakati unatamani uambiwe maneno matam na mwenza wako, unahitaji kudekezwa, unahitaji faraja kwenye huzuni unazopitia na mengine mengi.
Sasa ukiwa single Nani atakufanyia yote hayo, tusidanganyaje
Kabisa kaka nakuunga %100Hakuna kuenjoy kwenye usingo,...
Kuna wakati unatamani uambiwe maneno matam na mwenza wako, unahitaji kudekezwa, unahitaji faraja kwenye huzuni unazopitia na mengine mengi.
Sasa ukiwa single Nani atakufanyia yote hayo, tusidanganyaje usingo mbaya.