Kuwa single mateso

Kuwa single mateso

kioo kinanidanganya basi huwa naona nipo kawaida mno .

asante sana vipi habari ya leo ?
Kuanzia leo kiambie kioo 'acha uongo Mimi Ni mrembo sn' na Kama unatumia kioo Cha pikipiki acha kabisa maana hicho zinaongopa zaidi..

Habri tangu Ni nzuri sn sijui za kwako
 
Ukiwa na hela huwezi pata mapenzi ya kweli maana hela ndio zinapendwa, nikiona hivi naona bora kutokujiingiza moja kwa moja kwenye mahusiano sababu mtu anaangalia anafaidikaje na haya mahusiano.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Sasa Kwa nn uwe na Hela? Ficha kama hutaki akujue Ili upate unachokitaka.
 
Hakuna kuenjoy kwenye usingo,...
Kuna wakati unatamani uambiwe maneno matam na mwenza wako, unahitaji kudekezwa, unahitaji faraja kwenye huzuni unazopitia na mengine mengi.
Sasa ukiwa single Nani atakufanyia yote hayo, tusidanganyaje usingo mbaya.
 
Tuko busy na KAZI sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ubusy gani mlionao nyie bwana. Dunia yenyewe hamtawali nyie. Rais wa dunia pamoja na ubusy wake wote lakini alipata muda wa clintonian sexscapades
 
Hakuna kuenjoy kwenye usingo,...
Kuna wakati unatamani uambiwe maneno matam na mwenza wako, unahitaji kudekezwa, unahitaji faraja kwenye huzuni unazopitia na mengine mengi.
Sasa ukiwa single Nani atakufanyia yote hayo, tusidanganyaje

Hakuna kuenjoy kwenye usingo,...
Kuna wakati unatamani uambiwe maneno matam na mwenza wako, unahitaji kudekezwa, unahitaji faraja kwenye huzuni unazopitia na mengine mengi.
Sasa ukiwa single Nani atakufanyia yote hayo, tusidanganyaje usingo mbaya.
Kabisa kaka nakuunga %100
 
Back
Top Bottom