mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Nili date na mwanamke miaka saba mpaka tukafanana ,tulipewa majina kwamba sisi ni mapacha ila nilicho ambulia ni kadi yake ya send off pamoja na fedheha kibao,
Mimi kama mwanaume nilisononeka sana ila hakuna jinsi nimejifunza sana mwanamke siyo kiumbe kizuri ni hatari mno na hupaswi kumuweka akilini.
Mlio weza kudate muda mrefu na mkaoana na kuolewa nendeni mkatoe sadaka ya shukrani sawa sawa na imani zenu.
Shida ni kuwa muna wa hold muda mrefu for nothing
Anakufumania vya kutosha, suala la ndoa huzungumzii unampiga danadana…
Miaka 7 una date na mwanamke yote ya nini??? Kwanza mwanamke ataanza kuzeeka na wewe utamuona mbaya
Sisi huwa tunaangalia muelekeo tukiona huelewekii tunasepa