macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ni kweli. Kama siyo type yako ni bure na itakuwa ni kama kujitesa. Ukutane na hawa mwanamke wa uswazi, kila weekend ni sherehe, kwenda kwao ndiyo usiseme, mashoga ndiyo washauri wake wakuu na wewe kidume ni msomi, mwenye mambo ya kisomi halafu utegemee ndoa idumu?Hakuna kitu bora katika maisha kama kumpata wa kuendana nae, na ukimpata kila kitu kinakaa ktk nafasi yake.
Huo upendo, kujali vyote vinakuja bila kutumia nguvu.
Mimi nitaendelea kumshukuru Mungu, nimeyaona na kuyaishi mapenzi ya kweli kwa neema zake.