Kuwa wapenzi wa muda mrefu na hadi kufunga ndoa ni kitu kinavutia sana


Shida ni kuwa muna wa hold muda mrefu for nothing

Anakufumania vya kutosha, suala la ndoa huzungumzii unampiga danadana…

Miaka 7 una date na mwanamke yote ya nini??? Kwanza mwanamke ataanza kuzeeka na wewe utamuona mbaya

Sisi huwa tunaangalia muelekeo tukiona huelewekii tunasepa
 

Mnajitafuta sana… ahadi zikiwa nyingi huwa tunachoka

Wewe oa tu maisha yatajileta baadae

Hivi umekaa na mwanamke Miaka 8 wewe una Miaka 35 yeye ana 33 then hujamuoa unamsubirishaa

Apate wa kumuoA chapu akataee [emoji849][emoji849]

Hebu kuweni seriously
 
Aiseeee siwezi kudate muda mrefu hivo mpk sasa haya ndio mahusiano yangu marefu nilionayo
 
Kuna ukweli hapa, me mke wangu tulianza kudeti 2003 wakati huo nipo form 2, tukaja kuoana 2013. Now tuna miaka 10 ya ndoa lkn miaka 20 ya mahusiano. Anasemaga ananijua kama kanizaa yeye [emoji3]
Very interesting....Inaonekana wote mnauvumilivu wa kiwango cha juu!
 
Hahaha! Inawezekana kweli. Ila sio kwa miaka hiyo
 
Don't worry atavuna alichopanda. Kikubwa Muombe Mungu akuponye majeraha ya moyo. And move on
 
Kwa nini mlianza mapenzi katika umri mdogo?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Ilitokea tu hivyo lkn hatukua tunajihusisha na sex mpaka nilipomaliza form 6. Muda mwingi niliutumia shule kwa sababu nilikua nasoma boarding hivyo ilikua rahisi kutoshawishika kuanza sex mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…