Ndio mimi au ndio wewe? Kwani wewe umeona km mimi?
Mdomo mali yake wacha abwatukeAah wapi acha uongo ubabe uutoe wapi tena nyinyi mnaojifanya wababe ndio mnakuaga wepesi km karatasi kukubari kwamba gusa uone gusa nikuonyeshe haya umeguswa tayari sema sasa unataka kusemaje kumbe unataka kimoyomoyo uguswe tena maana ile uliyoguswa mwanzo umeona km umepapaswa unasikia utamu?
Leo ndio nimejua ni ke, tutafute namna mkubwa, hafu niko njianiπhivi huyu mwenye mada ni ke au me ? tuone namna ya kumpa msaada, asije pata depression π
Jibu tena swali languMbona nimekujibu mkuuπ₯²
Nilisha move on ila kumkumbuka is something i cant help.Move on
Inabidi ueleweke ilo upate msaada, usijifungie ukajichinja bureeeHata mimi simuelewi kabisa
Huyu ni both team to score yaan ladies and gentlemen kuna code ngumu kanisambazia pale juu nikaanza kupatwa na nyota nyota kuna mada nyingine kaifungua kule nikawasha taa nyekundu maana huku inasomeka ke ila kule inasoma me, oya ngoja kwanzaLeo ndio nimejua ni ke, tutafute namna mkubwa, hafu niko njianiπ
Wali ndio kitu ganiHutaki wali ww
Move on ww πHuyu ni both team to score yaan ladies and gentlemen kuna code ngumu kanisambazia pale juu nikaanza kupatwa na nyota nyota kuna mada nyingine kaifungua kule nikawasha taa nyekundu maana huku inasomeka ke ila kule inasoma me, oya ngoja kwanza
Wewe kiburi sanaaa, acha ubaki na kiburi chako ndio maana uliachwa, pasipo kujua unachart ni muhenga nakupa na laana ya ziada, utaendelea kuachwa hadi uache kiburi πππWaulize mama ntilie watakwambia
ππππKiburi from where mkuu