Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Mmoja wao kwa sasa Yeye, Mkewe na Watoto zake si Raia tena wa Tanzania ila Kutwa anazurula Mitaani na katika Media kutaka kuonyesha kuwa ana Machungu na Watanzania, anawapigania huku kila Siku Usiku Saa 3 anapiga au anapigiwa Simu na Kuongea kwa Furaha na Mtu Muhimu Tanzania huku akiwacheka na kuwaona Mazuzu ( Fools ) wale Wanaomuamini na Kumkubali.
 
Ushakua mjinga mjinga kbs siku hizi!! Hao wanasiasa wa chama ni yupi wa kumuamini? Na hapo upinzani hatujawah shika madaraka ukaharibu, lkn walioshika madarakani miongo na miongo still wanahangaika na matundu ya choo na kumtua mama ndoo ya maji ni wa kuwaamini?
 
Makini sana
 
Tena ni aibu kubwa sn, wanaenda kuzindua choo na shangingi la milioni mia 4
 
Weee jamaa mada hii inathibitisha jinsi ulivyo mpumbavu.Kwamba watu muhimu kama Mbowe ,Lissu, Slaa hawana akili?Walau tumeona mchango wao wakiwa bungeni na nje na mambo wanayopigania yameleta impact kwenye marekebisho ya Sheria kadhaa.Sasa wewe mchango wako ni upi?
 
Umeanza kuzeeka vibaya sasa...
 
Unakumbuka mara yako ya mwisho Kumiliki Akili ambazo huna tokea Uzaliwe ilikuwa ni lini labda?
 
Na si kwamba anawaona mazuzu tu, bali anawaona wamefubaa.....yaani MABONTO. Jeuri sana yule jamaa na anawajulia sana aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…