Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

Kuna Mmoja wao kwa sasa Yeye, Mkewe na Watoto zake si Raia tena wa Tanzania ila Kutwa anazurula Mitaani na katika Media kutaka kuonyesha kuwa ana Machungu na Watanzania, anawapigania huku kila Siku Usiku Saa 3 anapiga au anapigiwa Simu na Kuongea kwa Furaha na Mtu Muhimu Tanzania huku akiwacheka na kuwaona Mazuzu ( Fools ) wale Wanaomuamini na Kumkubali.
Tatizo ni kufuata mtu / kumuamini mtu; badala ya kuangalia contents au anachokizungumzia au kukipigania kwa wakati huo....

Kuwa na illusion kwamba kuna mzalendo au mtu hayupo pale kujiangalia yeye (numero uno) nadhani ni kupotoka na sio Bongo tu Politics za sasa ni ulaghai world over.....

Kwahio ukiangalia issues au ni nini kimezungumziwa na sio nani amezungumza na kukipinga au kukubali kwa utashi wako nadhani utaona kwamba life is simple.... Ila kama unakubali watu wafikiri kwa niaba yako basi utaendelea kuwa daraja la watu kupita wakienda kula...
 
Kwanini wananiita Popoma wakati Mwanzilishi wa Neno hili ni Mimi Mwenyewe GENTAMIYCINE nilipolibuni mwaka 2013 Mwezi November baada ya Kuyabuni maneno Mawili ya Lugha za Kizaramo na Kindengereko na nikayatohoa na kupata Neno Popoma likimaanisha Pumbavu / Mpumbavu.

Haya Waambie Taarifa hii na Wenzako wote ( hasa Wageni hapa JamiiForums ) kuwa Mimi GENTAMIYCINE ndiyo Mbunifu na Mwanzilishi wa Neno pendwa hili la Popoma.

Kudadadeki.
Mimi siyo mgeni, najua kila kitu. Swali kwanini wewe umegeuka na kuitwa popoma wakati jina hili ulitunga wewe?
 
We jamaa huna akili kabisa! Hata mnyama hulinda wanae na hatari! Sembuse mwanadamu
 
Back
Top Bottom