Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

Tatizo ni kufuata mtu / kumuamini mtu; badala ya kuangalia contents au anachokizungumzia au kukipigania kwa wakati huo....

Kuwa na illusion kwamba kuna mzalendo au mtu hayupo pale kujiangalia yeye (numero uno) nadhani ni kupotoka na sio Bongo tu Politics za sasa ni ulaghai world over.....

Kwahio ukiangalia issues au ni nini kimezungumziwa na sio nani amezungumza na kukipinga au kukubali kwa utashi wako nadhani utaona kwamba life is simple.... Ila kama unakubali watu wafikiri kwa niaba yako basi utaendelea kuwa daraja la watu kupita wakienda kula...
 
Mimi siyo mgeni, najua kila kitu. Swali kwanini wewe umegeuka na kuitwa popoma wakati jina hili ulitunga wewe?
 
We jamaa huna akili kabisa! Hata mnyama hulinda wanae na hatari! Sembuse mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…