stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
ndio hecheNdiyo akili zetu hizi
ndio hecheNdiyo akili zetu hizi
Huku mnamtegemea Braza K Mapovu.Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Unafiki utokana na kutojiamini, alafu unafiki uzaa umauti. Jamii, yetu huwezi kumuamini hata ndugu yako au hata Rafiki yako.nyongeza : watz ni wanafiki sana.
Miaka 1000, ni michache. labda elfu 2000. Yani kizazi cha 7 au 10.Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Gentleman,Sio uwendawazimu ni kujua haki zao na kutokuwa na akili za watu kama wewe na Lucas Mwanshambwa
Kwenye misemo yetu ya asili (proverbs) moja inasema kuwa "jirani hawezi kukuita mwanaume".Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Kwa hiyo unakubaliana matumizi ya nguvu hayaepukiki pale unapoona unapuuzwa kwa maongezi.ndo maaana kuna nchi zilipata uhuru kwa maongezi na kuna zingine ziliingia vitani, unapokua na dhamira ya kufanya mabadiliko busara inatakiwa ikuongoze zaidi ya mihemko, Sio rahisi kwa mfumo kuachia madaraka ukizongatia mizizi ilopo, na usitegemee utaenda pale kuwapigia story za HAKI hio haipo kokote duniani ata IRAN anashambuliwa bila kosa
matumizi ya nguvu maaana yake huna akili ya kutatua mambo bila nguvuKwa hiyo unakubaliana matumizi ya nguvu hayaepukiki pale unapoona unapuuzwa kwa maongezi.