Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
727
Reaction score
2,421
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
 
Kufikia mahal wananchi wao hawategemei wanasiasa, wanaenda front wenyewe na kuowajibisha serikali

Tz ikifika huku itukuwa historical
 
kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
ni kweli kabisa gentleman,
hakuna mTanzania atathubutu hata siku moja eti kuanadamana na sufuria kichwani kama mkenya mvivu eti anadai unga wakati ardhi ya kilimo ni bwerere kabisa nchini :putinWalk:
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Na wewe ukiwa moja wapo tena wewe ndio zaidi hasa,
 
Kufikia mahal wananchi wao hawategemei wanasiasa, wanaenda front wenyewe na kuowajibisha serikali

Tz ikifika huku itukuwa historical
Trust me hapa viongozi wa ccm wanaogaopa hayo mambo ya wananchi kuwa na mamlaka vibaya mno kama ni amri yao hata hiyo kenya wangeiamisha hukooo matakoni mwa bara la africa..
Si unajua ukiwa na jirani mchawi muda wowote ule ujue........!
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Mamia ya genZ waliuwawa mwaka jana na ruto is still
In power
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Hao waandamanaji wengi wao ni wazururaji tu wasio na kazi.
 
Unafurahisha sana mkuu
ni ukweli mtupu gentleman,
hakuna mTanzania atathubutu kwenda kuandamana ili akauawe.
uwendawazimu wa wakenye ni wa kiwango kibaya sana cha kisaikolojia, ambacho waTanzania itawachukua miaka mingi sana kufika huko
 
Aise kwa hiyo ndugu yako akiuawawa ukapiga kilele ni wendawazimu???? Mkuu
 
Back
Top Bottom