Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

Kujifananisha na wakenya wenye siasa za ukabila ni kujitukana. Aliyefariki ni mjaluo na wanaoandamana ni wajaluo. Tanzania huwa tukikemea jambo hatuangalii kabila la mtu. Mfumo wa maisha ya Kenya ni wa kinyama mno usio na maadili.
 
Swala la utu wa mtu halina ukabila! Sio kweli kwamba wanaondama kenya kwamba ni wajeluo tu! Maanake wajeluo wamejaa Kenya???? Wakenya wameelika na wanatambua haki zao tofauti na hapa Tanzania wamemezwa na uchawa, na ushabiki wa simba na yanga! Pamoja na betting
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Tafuta madesa yako uangalie kinachoendelea hata huko..., Sana sana mtu ni kuangushiwa jumba (mbuzi wa kafara) lakini wahusika wanaendelea kupeta, na hayo maandamano yatafanyika kwa siku kadhaa when the dust settles maharamia watabaki na kuendelea kuwa pale pale.... Kwa ufupi tu ngoja nikupe assassinations za Kenya na tena hao ni prominent political figures (and absolutely no has been called to justice)

  • Josiah Mwangi Kairuki
  • Tom Mboya
  • Bruce McKenzie
  • George Muchai
  • C. G. Njuguna Ngengi
  • Robert Ouko
  • Pio Gama Pinto
  • Charles Ong'ondo
  • Mugabe Were
Bado na madogo lukuki waliopotezwa...; Kwahio ushauri usitake kuwa kama Kenya au kuwafikia wakenya ambao na wenyewe wamepotea tu kama sisi Political Elites wanaendelea kupeta na ni vidagaa ndio vinatolewa Kafara... Aim kwa kuwa na Taasisi Imara / Jeshi / Polisi linaloaminika; sababu kama ulivyosema watanzania hatuna roho za kishetani (ni ndugu wa damu wala hatuna ukabila ingawa udini unataka kuingizwa) hivyo kutengeneza hii machinery ya Bongo ni rahisi sana kuliko ile ya Kenya
 
kwahiyo ndugu yangu akiuawa na mimi nikauwe right? huo si ulofa gentleman?

au wewe hutakufa?
Ķama kudai haki yako unauliwa basi huo mfumo haufai kule kenya wameanza kuandamana hii ni wiki sasa sijaona aliyeuawawa! Maanake mfumo wao ni mzuri ndo maana nasema KUWAFIKIA wakenya itatuchukua miaka mingi
 
Ni kweli kabisa wakenya wametuzidi sana.Tanzania watu wametekwa zaidi ya 80 lakini hakuna hata maandamano.Lakini ipo siku itafika tu Hawa polisi hawatazuia mafuriko ya hasira za watu.
 
kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
Kwa akili hizi unaweza kukuta kuna mtu anakutegemea kabisa.

Huoni kwa kufanya hivyo inasaidia watu kuwajibika na kuwafanya wengine walioko mamlakani ku act accordingly ili kuepuka kusulubishwa?

Sasa jambo dogo kama hili unashindwa kung'amua ndiyo ung'amue masuala yenye kuhitaji IQ kubwa?
 
Ķama kudai haki yako unauliwa basi huo mfumo haufai kule kenya wameanza kuandamana hii ni wiki sasa sijaona aliyeuawawa! Maanake mfumo wao ni mzuri ndo maana nasema KUWAFIKIA wakenya itatuchukua miaka mingi
if you can't fight them, join then otherwise you will be no more na hakuna kitu utafanya wala itafanyika gentleman :putinWalk:
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Leo Kenya watu wengi sana hawajatoka kwenda mishe
 
Hivi kwani umeambiwa waliandamana ili huyo aliye dead arudi hai?
ndo tunasema logic itumike, mpumzishe kwanza ojwang alafu harakati zifuate sasa kuanzia apo, wewe kukaa na mzoga ndan sio busara ni ulemavu wa akili kuonyesha kwamba unaweka msimamo wa kujikomoa, usipokua na busara utakutana na wahuni zaidi yako alafu watakaolia sio wewe bali familia yako
 
Nchi yenye hali ngumu ambayo ili mtu ale nilazima aendw kazin atatoa wapI muda muda wa kuandamana? 🤣
Kwahiyo Kenya hawendi kazini, chakula kinakuja tu! Mzazi wako tu ndiye atakuamini usemacho maana Hana jinsi, alikuzaa yeye! Ahahahahaha!!!
 
Akili za mtanzania hizi.Kabla dunia haijachangamka na kushtuka,hayo uliyoyaandika ndiyo yalikuwa maneno ya watu wasiojitambua kinafsi,fikra hadi kiuumbaji.
yote unaofanya familia yako ndo itaumia sio wewe, ukiamua kuandamana tena fresh atauliwa mwingine na ndo faida mtakaokua mmepata
 
Swali la kijingq sana, Kesho keshokutwa akiuawa mwingine utamlaumu nani? Nyie ndiyo aina ya watanzania mleta mada anawazungumzia.
si unaona mwenyewe unajifunga kwahio ukiandamana akifa mwingine ndo faida mtakaokua mmepata?
 
Back
Top Bottom