Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

Dah, kweli ase.. hili umeongea ni jambo kubwa mno.

Hakika tunapaswa kubadilika.
 
Kenya Ukiachana na Movement na kuwa na Coverage ya internet kwa wananchi wengi issue ya trabalism pia inawatesa sana kuna Mp amesema juzi kuwa Kwake uko Jimboni wameuliwa watu 14 na serikali ya kenya bado ilikuwa kimya tu

Kilichotoa attention kubwa kwa the late Ojwang Ni Kwasbabu pia the guy was from Luo tribe

Lakini pia Deputy IG haja jiuzulu (Resign) bali ame step aside(Kukaa pembeni) ili Kupisha IPoA wakamilishe uchunguzi wao mana nae atapaswa kuhojiwa sasa kumhoji huku ameshika Office kubwa kama ya deputy ni chalenge kidogo ndio mana ameona akae pembeni for a while ili ane awe grilled kukamilisha uchunguzi
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Mkenya mmoja anasema kule kwao kama huna National Id kumpata mtu wa kukupa namba yake utumie kusajili line ni kipengele. Moyoni Tanzania tupo free sana.
 
Write your reply...utukane watu, uwadharirishe uwazushie halafu wakikuua mimi niandame huo utakua upumbavu
 
kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
Wahusika wanawajibishwa na wanawajibika, hii hufanya mauaji, utesaji na dhulma za haki za watu zifanywazo na dola kutokuwa zikifanyika repeatedly. Kuyamazia pia hakurudishi uhai and worse kunasababisha wauaji hao walio sponsored na dola kuzidi kuua kwani wanakuwa wakijiamini kwamba hakuna consequences hata waue Kijiji kizima whilst that kind of shit can't happen in Kenya without the cops paying the price.
 
you see the problem is you dont understand whats authority is, since the creation of mankind there was always some sort of authority and there was also someone who wanted that throne also, so its a war but all great wars are won intelligently, if you solution to every problem is massive protest then you should be ok with the consequences,
 
Labda Kenya waingie kwenye mfumo wa ujamaa, hapo tutawafikia na pengine kuwapita. Ila kuwapita sio rahisi, anatakiwa mtu kama JPM.
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
kifo ni kifo tuu
 
ni ukweli mtupu gentleman,
hakuna mTanzania atathubutu kwenda kuandamana ili akauawe.
uwendawazimu wa wakenye ni wa kiwango kibaya sana cha kisaikolojia, ambacho waTanzania itawachukua miaka mingi sana kufika huko
Wakenya wanajielewa wewe baki na uchawa wako wa kipumbavu TU!
 
Back
Top Bottom