Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

ni ukweli mtupu gentleman,
hakuna mTanzania atathubutu kwenda kuandamana ili akauawe.
uwendawazimu wa wakenye ni wa kiwango kibaya sana cha kisaikolojia, ambacho waTanzania itawachukua miaka mingi sana kufika huko
Mkuu ni lini waandamanaji waliwahi kuua mtu??? Toa mfano mmoja???
 
Hao waandamanaji wengi wao ni wazururaji tu wasio na kazi.
Mkuu usisahau ni watanzania, ni raia halisi na wapiga kura. Kuzurura haumaanishi mtu hana ajira!!

Mkuu ukimaliza shule, utakuwa, utaelewa vizuri! Kwa sasa kazana na masomo!!!
 
kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
Kuna wengne akili zenu sijui zipo nyuma au sijui nini,hivi mhalifu anaetenda uhalifu wa kuuwa akakamatwa na kufungwa kifungo cha maisha na jamii ikarizika huwa inamrudisha aliekufa? ,Sikutegemea kama ungeuliza swali la kijinga kama hilo
 
Kujifananisha na wakenya wenye siasa za ukabila ni kujitukana. Aliyefariki ni mjaluo na wanaoandamana ni wajaluo. Tanzania huwa tukikemea jambo hatuangalii kabila la mtu. Mfumo wa maisha ya Kenya ni wa kinyama mno usio na maadili.
🤣 🤣 🤣
 
Hamia Kenya kuwa huru tu.
Ila ole wako ukatibu Tz utaona Moto
 
ni ukweli mtupu gentleman,
hakuna mTanzania atathubutu kwenda kuandamana ili akauawe.
uwendawazimu wa wakenye ni wa kiwango kibaya sana cha kisaikolojia, ambacho waTanzania itawachukua miaka mingi sana kufika huko
Watanzania hawa hawa wenye kuona gari la mafuta limepinduka wanalikimbilia linawabutukia wanakufa? Watanzania hawa hawa ambao ccm inawajaza kwenye malori kama ng'ombe ili kwenda kukaa juani kwenye mikutano ya ccm?

Sasa hapo si bora uwendawazimu wa wakenya una faida mara 100 kuliko uwendawazimu wa wabongo.
 
Kujifananisha na wakenya wenye siasa za ukabila ni kujitukana. Aliyefariki ni mjaluo na wanaoandamana ni wajaluo. Tanzania huwa tukikemea jambo hatuangalii kabila la mtu. Mfumo wa maisha ya Kenya ni wa kinyama mno usio na maadili.
Sasa si bora wao wanafanya vitendo na matokeo yanapatikana kuliko hizo siasa zetu za kukemea halafu watawala wanakujibu kwa dharau kabisa kwamba hamia burundi, kwamba mtaongea kisha mtanyamaza na kiongozi mkuu wa nchi ndio anawaambia kabisa yeye kiziwi hasikii hizo kelele zenu.
 
yote unaofanya familia yako ndo itaumia sio wewe, ukiamua kuandamana tena fresh atauliwa mwingine na ndo faida mtakaokua mmepata
Kwani sasa hivi mbona hatuandamani na bado tunatekwa na kuuliwa na ukizungumzia suala hilo unashughulikiwa.
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Bro tafuta ugali wako kula Shiba lala.
Naomba Kwa Mungu Tanzania isije kuwa kama Kenya daima.
Wakenya maandamano yao sio ya kistaarabu,wanafanya uharibifu wa mali na zaidi wanafanya wizi pia.
Kwenye hayo maandamano wafanyabiashara wamelia sana kuibiwa na mali zao kuharibiwa.
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Wewe kuna mchango gani umeitoa kuwzlazindua watanzania? Si ajabu hapo ulipo wewe ni chawa wa watu fulani!
 
ndo tunasema logic itumike, mpumzishe kwanza ojwang alafu harakati zifuate sasa kuanzia apo, wewe kukaa na mzoga ndan sio busara ni ulemavu wa akili kuonyesha kwamba unaweka msimamo wa kujikomoa, usipokua na busara utakutana na wahuni zaidi yako alafu watakaolia sio wewe bali familia yako
Sawa.
 
Kuwafikia kwa upumbavu au kwa uvutaji wa bangi? We ni pumbav mpk chenji inabaki. Wakenya ni malimbukeni, wengi ni majobless na mirungi na bangi imewaharibu sn akili. Sisi hatuna la kujifunza kwa hayo mapimbi yasiyojitambua
Active Payge huyu mtu mbona anatukana sana Kila siku mnamuanglla tu mpeni ban apumzike hili sio jukwaa la matusi
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
_20250526_075256.JPG

​
Aah Kenya kama mbele mwanangu, You Know 😂
 
Mkuu usisahau ni watanzania, ni raia halisi na wapiga kura. Kuzurura haumaanishi mtu hana ajira!!

Mkuu ukimaliza shule, utakuwa umekuwa utaelewa vizuri! Kwa sasa kazana na masomo!!!
Dah! Wakenya ni Watanzania? Wewe kiboko!
 
Kuna wengne akili zenu sijui zipo nyuma au sijui nini,hivi mhalifu anaetenda uhalifu wa kuuwa akakamatwa na kufungwa kifungo cha maisha na jamii ikarizika huwa inamrudisha aliekufa? ,Sikutegemea kama ungeuliza swali la kijinga kama hilo
katika maisha lazima ujifunze kutumia busara zaidi, kuna mwingine alipata uhuru wa nchi yake bila kumwaga damu na kuna mwingine ilibidi watu wafe wote hawa lengo lao ni 1, however mmoja ni mpumbavu kwa sababu hao waliokufa umewanyima matunda ya uhuru alietumia busara wote waliishi kuuona huo uhuru, kupanga ni kuchagua

katika maaandamano ya ojwang wengine wanauliwa sasa itabidi muandamane tena kwa ajili ya wengine ili wengine wauliwe, ukiwa maskini ata upande wa akili ya kuona unafilisika
 
Back
Top Bottom