stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
unasali kwa gwajima nnKwani kufunga makanisa ya Gwajima ndio utekaji na mauwaji yataisha?
unasali kwa gwajima nnKwani kufunga makanisa ya Gwajima ndio utekaji na mauwaji yataisha?
Mange anaishi Marekani atajuaje kama watanzania wanakosa ajira kiasi cha kusombwa kwenye malori ili wapelekwe kujaa kwenye mikutano Samia?Muulize Mange Kimambi atakujibu hilo swali.
Nasali msikitini mkuu.unasali kwa gwajima nn
Punguza upumbavu Aisee! Unapomuadhibu mwanao nyumbani kwa makosa aliyofanya, ni kumfundisha asirudie tena makosa, sio kwamba makosa yaliyofanyika yanafutika.kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
Kwani serikali ya Kenya inawalisha raia wake kwa kuwapa unga!? Au wananunua wenyewe!? By the way mbona mnawapangia wakulima wenu wa Tz Bei za mazao yao!?ni kweli kabisa gentleman,
hakuna mTanzania atathubutu hata siku moja eti kuanadamana na sufuria kichwani kama mkenya mvivu eti anadai unga wakati ardhi ya kilimo ni bwerere kabisa nchini![]()
Matibabu ya akili mnahitaji nyie wapumbavu mnaoona sawa watu kutekwa na kuuawa kama mifugo machinjioni.hayo yote hayawezi kufanyika akishazikwa? ujue kuna mda mnahitaji matibabu ya akili
sasa mbona hubeba masufuria vichwani kudai unga badala ya kwenda kulima gentleman?Kwani serikali ya Kenya inawalisha raia wake kwa kuwapa unga!? Au wananunua wenyewe!? By the way mbona mnawapangia wakulima wenu wa Tz Bei za mazao yao!?
Ficha upumbavu wako wewe mbwa kichaa. Maandamano ya RAIA yanazuia vipi ndugu wa marehemu kumzika!?kwahio kukaa na mzoga ndo utashi wa akili 🤣 🤣 🤣
Wakibeba masufuria hilo ni tatizo kwa serikali ya ccm na wafuasi wake!? Jaribu kuficha upumbavu wako.sasa mbona hubeba masufuria vichwani kudai unga badala ya kwenda kulima gentleman?
uvivu wao ndio umaskini waoWakibeba masufuria hilo ni tatizo kwa serikali ya ccm na wafuasi wake!? Jaribu kuficha upumbavu wako.
Umasikini wa Wakenya unakuletea wewe shida!?uvivu wao ndio umaskini wao
ni mzigo kwa Tanzania gentlemanUmasikini wa Wakenya unakuletea wewe shida!?
Ni culture! Mwalimu Nyerere alitujengea culture ya uoga na hadi sasa haijatoka. Pia hatuna umoja tuna ubinafsi mkubwa kila mtu anaangalia yake tu.Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
si wamesema wenyewe haziki, au hujaelewa kilichoandikwaFicha upumbavu wako wewe mbwa kichaa. Maandamano ya RAIA yanazuia vipi ndugu wa marehemu kumzika!?
shirikisha akili saa ingine ukiona unashindwa kabisa jitahidi kuvaa kanzuMatibabu ya akili mnahitaji nyie wapumbavu mnaoona sawa watu kutekwa na kuuawa kama mifugo machinjioni.
kwan kila tatizo unamuadhibu mtoto?Punguza upumbavu Aisee! Unapomuadhibu mwanao nyumbani kwa makosa aliyofanya, ni kumfundisha asirudie tena makosa, sio kwamba makosa yaliyofanyika yanafutika.
basi ndo maaana saa ingine mnaweza kumwonea mpaka pigiNasali msikitini mkuu.
Huu upumbavu ndio mnafundishwa na yule anayejiita chura kiziwi bila shaka.kwan kila tatizo unamuadhibu mtoto?
Hiyo "tunaweza" hapo umekusudia mimi na akina nani au hadi na Samia ambaye pia anaswali msikitini?basi ndo maaana saa ingine mnaweza kumwonea mpaka pigi