Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

Kwa akili hizi unaweza kukuta kuna mtu anakutegemea kabisa.

Huoni kwa kufanya hivyo inasaidia watu kuwajibika na kuwafanya wengine walioko mamlakani ku act accordingly ili kuepuka kusulubishwa?

Sasa jambo dogo kama hili unashindwa kung'amua ndiyo ung'amue masuala yenye kuhitaji IQ kubwa?
ukitaka kushinda vita tumia busara, ukijifanya mgumu kuna wagumu zaidi yako na watakaopata tabu ni familia yako! tumia akili
 
yote unaofanya familia yako ndo itaumia sio wewe, ukiamua kuandamana tena fresh atauliwa mwingine na ndo faida mtakaokua mmepata
Wewe tulia haushurutishwi kujibidiisha kwa lolote kuhusu haki,sheria na ustawi wa jamii.Wenye nia,haja na guts watakupigania tu.Wewe jitulize kama kasuku katorokwa na mchumba wake.
 
Swala la utu wa mtu halina ukabila! Sio kweli kwamba wanaondama kenya kwamba ni wajeluo tu! Maanake wajeluo wamejaa Kenya???? Wakenya wameelika na wanatambua haki zao tofauti na hapa Tanzania wamemezwa na uchawa, na ushabiki wa simba na yanga! Pamoja na betting
Wewe ni mrundi?
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Utasikia yupe producer wa upinde akisema wakenya tuna wapita kila kitu. Kmmk labda ujinga kweli tumewapita
 
we endelea kubweka nyuma ya keyboard
Kutumia keypads au keyboards hakumfanyi mtu aliyezaliwa akiwa timamu wa akili na mwili,mdadisi,mpenda haki,maendeleo na ustawi mwema ashindwe kujisimamia na kupigania jamii iwe bora.Labda,yule aliye zuzu,zezeta na mdumavu ambaye kwake yeye haamini hayo.Na,ikitokea watu au mtu anakuwa mpambanaji atampa maneno legevulegevu kama "utaweza"?Tuliona wengi!Yatakushinda!Jisalimishe!Achana nao wana nguvu! Na ujingaujinga mwingine kama huo.
 
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!

Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
Kuwafikia kwa upumbavu au kwa uvutaji wa bangi? We ni pumbav mpk chenji inabaki. Wakenya ni malimbukeni, wengi ni majobless na mirungi na bangi imewaharibu sn akili. Sisi hatuna la kujifunza kwa hayo mapimbi yasiyojitambua
 
Kutumia keypads au keyboards hakumfanyi mtu aliyezaliwa akiwa timamu wa akili na mwili,mdadisi,mpenda haki,maendeleo na ustawi mwema ashindwe kujisimamia na kupigania jamii iwe bora.Labda,yule aliye zuzu,zezeta na mdumavu ambaye kwake yeye haamini hayo.Na,ikitokea watu au mtu anakuwa mpambanaji atampa maneno legevulegevu kama "utaweza"?Tuliona wengi!Yatakushinda!Jisalimishe!Achana nao wana nguvu! Na ujingaujinga mwingine kama huo.
maelezo yote ya nn keyboard waria? 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom