Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

Huku mnamtegemea Braza K Mapovu.
 
Miaka 1000, ni michache. labda elfu 2000. Yani kizazi cha 7 au 10.
 
Sio uwendawazimu ni kujua haki zao na kutokuwa na akili za watu kama wewe na Lucas Mwanshambwa
Gentleman,
kama unajua haki yako, mathalani haki ya kuishi huwezi kuthubutu kua lofa na kutumia kizembe zawadi hiyo ya uhai ulopewa bure na Mungu🐒
 
Kwenye misemo yetu ya asili (proverbs) moja inasema kuwa "jirani hawezi kukuita mwanaume".
Kwa yovyote tukubali au tukatae huu ndio ukweli unaouma!
 
Kwa hiyo unakubaliana matumizi ya nguvu hayaepukiki pale unapoona unapuuzwa kwa maongezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…