Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haya unajifanya huyajui basi unastahili kudharauliwa mno !Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara.
Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka asubuhi anaamrisha watu watekwe,wapigwe na kuweka curfew?
Je hii hii nchi haitawaliwi kwa misingi ya katiba ya JMT? Tuache kuwapaka matope watawala wetu.